RC GAMBO AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUACHA DHANA YA KUOGOPA KUSTAAFU

RC GAMBO AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUACHA DHANA YA KUOGOPA KUSTAAFU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC GAMBO AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUACHA DHANA YA KUOGOPA KUSTAAFU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC GAMBO AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUACHA DHANA YA KUOGOPA KUSTAAFU
kiungo : RC GAMBO AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUACHA DHANA YA KUOGOPA KUSTAAFU

soma pia


RC GAMBO AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUACHA DHANA YA KUOGOPA KUSTAAFU

Mwambawahabari
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akizungumza katika mkutano wa nane wa wadau wa mfuko wa mafao ya kustaafu wa GEPF jijini Arusha juzi ,wakati akifunga mkutano huo ambapo aliwataka wastaafu watarajiwa kujiandaa kustaafu kwa kubuni miradi mbalimbali ya kuongeza kipato hali itakayosaidia wao kujiendeleza kimaisha(Habari Picha na Pamela Mollel Arusha)
 Katibu Mkuu katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Eric Shitindi akizungumza katika mkutano huo ambapo alisema ni vyema watumishi wakajianda mapema wakiwemo wa umma na sekta binafsi

Mkurugenzi
wa mfuko wa GEPF Daudi Msangi alisema kuwa tayari kuna mikakati mbalimbali
ambayo imeletwa kwenye mkutano huo na itaanza kufanyiwa kazi kwa malengo
ya kuboresha maslai ya wanachama na nchi kwa ujumla
 
Mwenyekiti wa bodi Ya
wadhamini,wa mfuko huo Joyce shaidi akizungumza katika mkutano huo
 Kulia ni mkuu wa kitengo cha kusimamia amana za wawekezaji katika benki ya CRDB Bw.Masumai Ahmed
 
Wadau wa mkutano wakiwa wamesimama kuashiria kumalizika kwa mkutano huo
Mkuu wa mkoa
wa arusha Mrisho Gambo amewataka Watumishi katika sekta za umma  kuacha
dhana ya kuogopa  kustaafu kazi pindi wanapofikia muda wa kustaafu
badala yake wanatakiwa kujipanga kabla muda haujafika.

Aidha watumishi
wanaogopa kustaafu kwa kuwa wanaanza kujiandaa miaka miwili kabla hali
ambayo inawapa uoga mkubwa wastaafu watarajiwa

Mrisho Gambo
ameyasema hayo jana  wakati akifunga mkutano wa mfuko wa mafao ya
kustaafu (GEPF) uliokuwa ukiendelea  jijini Arusha

Gambo alisema
kuwa kwa sasa wastaafu wanapata magonjwa ya moyo kwa kuwa hawajajiandaa
na kubuni miradi ambayo inaweza kuwaletea vipato kama mishahara yao
ilivyokuwa

Alisema
maandalizi ni muimu sana kwa wafanyakazi hata kama bado hawajafikia muda
wa kustaafu kwani kustaafu sio ajali bali ni kitu ambacho kipo na
kimeshawekewa utaratibu na mifuko ya hifadhi jamii hapa nchini pamoja na
Serikali.

“Wastaafu wengi
wanakufa pindi wanapoacha kazi hiyo sio sawa ni lazima kila mtu
ajiandae na abuni njia mojawapo ya kujiongezea kipato kwani hata kama
ukijiajiri mwenyewe ni lazima utapata kipato kama kile ulicho kuwa
unalipwa kama sehemu ya ujira wako “aliongeza Gambo.

Wakati huo huo
aliwataka wakuu wa mifuko ya hifadhi hapa nchini kuhakikisha kuwa
wanatoa elimu ya kujiandaa kustaafu kwa wafanyakazi wake kwani uzoefu
unaonesha kuwa asilimia kubwa ya wafanyakazi hawana elimu hiyo

Alisema kama
wafanyakazi watakuwa na elimu hiyo ya kustaafu basi itasaidia kupunguza
ulalamishi kwa wastaafu,magonjwa ya moyo,vifo visivyo na lazima
vinavyotokea.

Naye mkurugenzi
wa mfuko huo Daudi Msangi alisema kuwa tayari kuna mikakati mbalimbali
ambayo imeletwa kwenye mkutano huo na itaanza kufanyiwa kazi kwa malengo
ya kuboresha maslai ya wanachama na nchi kwa ujumla.
 


Hivyo makala RC GAMBO AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUACHA DHANA YA KUOGOPA KUSTAAFU

yaani makala yote RC GAMBO AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUACHA DHANA YA KUOGOPA KUSTAAFU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC GAMBO AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUACHA DHANA YA KUOGOPA KUSTAAFU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/rc-gambo-awataka-watumishi-wa-umma_30.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RC GAMBO AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUACHA DHANA YA KUOGOPA KUSTAAFU"

Post a Comment