title : WATAALAM MASUALA YA MAAFA WAKUTAKANA
kiungo : WATAALAM MASUALA YA MAAFA WAKUTAKANA
WATAALAM MASUALA YA MAAFA WAKUTAKANA
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig. Jen. Mbazi Msuya akifungua kikao cha Wataalam wa Maandalizi wa Kikao cha Baraza la Usimamizi wa Maafa Tanzania kilichofanyika Januari 25, 2018 katika Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Waziri Mkuu Dodoma.
Mratibu wa Maafa Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.Charles Msangi akiwasilisha mada wakati wa kikao cha Wataalam wa Maandalizi wa Kikao cha Baraza la Usimamizi wa Maafa Tanzania kilichofanyika Januari 25, 2018 katika Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Waziri Mkuu Dodoma.
Mkurugenzi Msaidizi (Mipango na Tafiti) Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Bashiru Taratibu akichangia hoja wakati wa Kikao cha Wataalamu wa masuala ya Maafa kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Waziri Mkuu Dodoma.
Afisa Kilimo Wizara ya Kilimo (Idara ya Usalama wa Chakula) Bw.Robert Dimoso akiuliza swali wakati wa Kikao cha Wataalamu wa masuala ya Maafa kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Waziri Mkuu Dodoma.
Mhandisi Mwandamizi kutoka Wizara ya Maji na Umwagiliaji Bi. Kalunde Malale akichangia hoja wakati wa Kikao cha Wataalamu wa masuala ya Maafa kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Waziri Mkuu Dodoma.
Baadhi ya wajumbe wa Kikao cha Wataalamu wa masuala ya Maafa wakifuatilia uwasilishwaji wa mada kutoka kwa Mratibu wa Maafa Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.Charles Msangi (hayupo pichani) wakati wa kikao cha Wataalamu wa masuala ya Maafa kilichofanyika Januari 25, 2018 Dodoma.
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig. Jen. Mbazi Msuya (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe kikao cha Wataalamu wa masuala ya Maafa kilichofanyika Januari 25, 2018 Dodoma.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU - DODOMA)
Hivyo makala WATAALAM MASUALA YA MAAFA WAKUTAKANA
yaani makala yote WATAALAM MASUALA YA MAAFA WAKUTAKANA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WATAALAM MASUALA YA MAAFA WAKUTAKANA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/wataalam-masuala-ya-maafa-wakutakana.html
0 Response to "WATAALAM MASUALA YA MAAFA WAKUTAKANA"
Post a Comment