SOMA HAPO KUHUSU KUJIUZURU KWA MBUNGE JOHN MNYIKA

SOMA HAPO KUHUSU KUJIUZURU KWA MBUNGE JOHN MNYIKA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SOMA HAPO KUHUSU KUJIUZURU KWA MBUNGE JOHN MNYIKA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SOMA HAPO KUHUSU KUJIUZURU KWA MBUNGE JOHN MNYIKA
kiungo : SOMA HAPO KUHUSU KUJIUZURU KWA MBUNGE JOHN MNYIKA

soma pia


SOMA HAPO KUHUSU KUJIUZURU KWA MBUNGE JOHN MNYIKA

Image result for PICHA ZA JOHN MNYIKA

Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimekanusha habari inayoenea kuhusu Mbunge wa Kibamba, John Mnyika kujivua uanachama kuwa hazina ukweli wowote na zinapaswa kupuuzwa.

 
Chadema wametua kanusho hilo kupitia mtandao wa Twittter kwenye ukurasa wa chama hicho na kusma kwamba wanaosambaza habari za Mnyika kujivua ni wale walioishiwa hoja na majibu juu ya maisha ya watanzania.

"Kuna taarifa zinasambazwa mitandaoni ya kuwa Mhe. John Mnyika, Mbunge wa Kibamba amejivua uanachama wa CHADEMA. Taarifa hizo ni za uongo na hazina ukweli wowote, ni za kupuuzwa, wanaozisambaza ni wale walioishiwa hoja na majibu juu ya hali ya maisha ya Watanzania".


Hivyo makala SOMA HAPO KUHUSU KUJIUZURU KWA MBUNGE JOHN MNYIKA

yaani makala yote SOMA HAPO KUHUSU KUJIUZURU KWA MBUNGE JOHN MNYIKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SOMA HAPO KUHUSU KUJIUZURU KWA MBUNGE JOHN MNYIKA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/soma-hapo-kuhusu-kujiuzuru-kwa-mbunge.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SOMA HAPO KUHUSU KUJIUZURU KWA MBUNGE JOHN MNYIKA"

Post a Comment