title : SHIRIKA LA UTANGAZAJI ZANZIBAR (ZMCL) LATILIANA SAINI USHIRIKIANO NA KITUO CHA UTANGAZAJI CHA CCTV CHA CHINA
kiungo : SHIRIKA LA UTANGAZAJI ZANZIBAR (ZMCL) LATILIANA SAINI USHIRIKIANO NA KITUO CHA UTANGAZAJI CHA CCTV CHA CHINA
SHIRIKA LA UTANGAZAJI ZANZIBAR (ZMCL) LATILIANA SAINI USHIRIKIANO NA KITUO CHA UTANGAZAJI CHA CCTV CHA CHINA
Naibu Mkurugenzi Mkuu wa CCTV Li Yi (wa pili kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa ZMCL Muhammed Seif Khatib wakitiliana sainai makubaliano ya ushirikiano baina ya vituo hivyo viwili vya utangazaji katika sherehe zilizofanyika Ofisi za ZMCL Mombasa Mjini Zanzibar.
Mkurugenzi Mtendaji wa ZMCL Muhammed Seif Khatib akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar Naibu Mkurugenzi Mkuu wa CCTV mara baada ya kutiliana saini makubaliano ya ushirikiano baina ya Taasisi hizo mbili za utangazaji katika sherehe zilizofanyika Ofisini kwao Mombasa Mjini Zanzibar.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZMCL) Muhammed Seif Khatib (kati kati kushoto) akiongoza mazungumzo ya ushirikiano baina ya Shirika hilo na Channel ya Televisheni ya China {CCTV) yaliyofanyika ukumbi wa Shirika hilo Mombasa ambapo Naibu Mkurugenzi Mkuu wa CCTV Li Yin (wa pili kulia) aliongoza ujumbe kutoka China.
Mkurugenzi Mtendaji wa ZMCL Muhammed Seif Khatib akiwatembeza watendaji wa CCTV studio za kutangazia za Redio za shirika hilo kabla ya kutiliiana saini makubaliano ya ushirikiano baina ya Taasisi hzo mbili za utangazaji.Picha na Ramadhani Ali Maelezo Zanzibar
Hivyo makala SHIRIKA LA UTANGAZAJI ZANZIBAR (ZMCL) LATILIANA SAINI USHIRIKIANO NA KITUO CHA UTANGAZAJI CHA CCTV CHA CHINA
yaani makala yote SHIRIKA LA UTANGAZAJI ZANZIBAR (ZMCL) LATILIANA SAINI USHIRIKIANO NA KITUO CHA UTANGAZAJI CHA CCTV CHA CHINA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SHIRIKA LA UTANGAZAJI ZANZIBAR (ZMCL) LATILIANA SAINI USHIRIKIANO NA KITUO CHA UTANGAZAJI CHA CCTV CHA CHINA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/shirika-la-utangazaji-zanzibar-zmcl.html
0 Response to "SHIRIKA LA UTANGAZAJI ZANZIBAR (ZMCL) LATILIANA SAINI USHIRIKIANO NA KITUO CHA UTANGAZAJI CHA CCTV CHA CHINA"
Post a Comment