title : IGP SIRRO ATEMBELEA KIKOSI 673 CHA JESHI LA WANANCHI MKOANI DODOMA.
kiungo : IGP SIRRO ATEMBELEA KIKOSI 673 CHA JESHI LA WANANCHI MKOANI DODOMA.
IGP SIRRO ATEMBELEA KIKOSI 673 CHA JESHI LA WANANCHI MKOANI DODOMA.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (katikati) akikagua maandalizi ya JWTZ Kikosi cha 673 katika harakati za maandalizi ya kuamia mkoani Dodoma na alietangulia mwenye nguo nyeusi CEO Meltus Franci akimuonyesha IGP maeneo mbali mbali ya kikosi hicho. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro kushoto akiwa na mwenyeji wake CEO Meltus Franci, akikagua ujenzi wa gharama nafuu katika Kikosi 673 ili kuupata ujuzi huo kutoka JWTZ na Jeshi la Polisi watumie ili kupunguza gharama za Nyumba za Askari mkoani Dodoma katika harakati za kuamia mkoani humo. Picha na Jeshi la Polisi.

Hivyo makala IGP SIRRO ATEMBELEA KIKOSI 673 CHA JESHI LA WANANCHI MKOANI DODOMA.
yaani makala yote IGP SIRRO ATEMBELEA KIKOSI 673 CHA JESHI LA WANANCHI MKOANI DODOMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO ATEMBELEA KIKOSI 673 CHA JESHI LA WANANCHI MKOANI DODOMA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/igp-sirro-atembelea-kikosi-673-cha.html
0 Response to "IGP SIRRO ATEMBELEA KIKOSI 673 CHA JESHI LA WANANCHI MKOANI DODOMA."
Post a Comment