Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Yapongezwa kwa Kuwajali Wateja Wake

Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Yapongezwa kwa Kuwajali Wateja Wake - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Yapongezwa kwa Kuwajali Wateja Wake, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Yapongezwa kwa Kuwajali Wateja Wake
kiungo : Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Yapongezwa kwa Kuwajali Wateja Wake

soma pia


Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Yapongezwa kwa Kuwajali Wateja Wake

Afisa wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma akikagua fomu ya tamko la rasilimali na madeni iliyowasilishwa na mmoja wa viongozi wa umma katika ofisi za Sekretarieti hiyo Jijini Dar es Salaam leo. . Leo ndiyo siku ya mwisho ya kuwasilisha fomu hizo ambapo kila kiongozi aliyetajwa katika sheria husika analazimika kuwa amewasilisha fomu yake.(Picha na: Frank Shija -MAELEZO)
Afisa wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma akimuelekeza jambo mmoja wa viongozi wa umma aliyefika katika ofisi za Sekretarieti hiyo kwa ajili ya kuwasilisha fomu yake ya tamko la rasilimali na madeni leo Jijini Dar es Salaam. . Leo ndiyo siku ya mwisho ya kuwasilisha fomu hizo ambapo kila kiongozi aliyetajwa katika sheria husika analazimika kuwa amewasilisha fomu yake.
Afisa wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma akikagua fomu ya tamko la rasilimali na madeni iliyowasilishwa na Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki Mhe. Omary Mkumba katika ofisi za Sekretarieti hiyo Jijini Dar es Salaam leo. . Leo ndiyo siku ya mwisho ya kuwasilisha fomu hizo ambapo kila kiongozi aliyetajwa katika sheria husika analazimika kuwa amewasilisha fomu yake.(Picha na: Frank Shija -MAELEZO)
Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki Mhe. Omary Mkumba akisaini fomu yake ya tamko la rasilimali na madeni mara baada ya kuwasilisha na kukaguliwa na Afisa wa Sektretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma leo Jijini Dar es Salaam. Leo ndiyo siku ya mwisho ya kuwasilisha fomu hizo ambapo kila kiongozi aliyetajwa katika sheria husika analazimika kuwa amewasilisha fomu yake. (Picha na: Frank Shija -MAELEZO)


Hivyo makala Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Yapongezwa kwa Kuwajali Wateja Wake

yaani makala yote Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Yapongezwa kwa Kuwajali Wateja Wake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Yapongezwa kwa Kuwajali Wateja Wake mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/sekretarieti-ya-maadili-ya-viongozi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Yapongezwa kwa Kuwajali Wateja Wake"

Post a Comment