NYALANDU APATA MRITHI, JIMBO LA LONGIDO, SONGEA NAKO MABO YAIVA

NYALANDU APATA MRITHI, JIMBO LA LONGIDO, SONGEA NAKO MABO YAIVA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NYALANDU APATA MRITHI, JIMBO LA LONGIDO, SONGEA NAKO MABO YAIVA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NYALANDU APATA MRITHI, JIMBO LA LONGIDO, SONGEA NAKO MABO YAIVA
kiungo : NYALANDU APATA MRITHI, JIMBO LA LONGIDO, SONGEA NAKO MABO YAIVA

soma pia


NYALANDU APATA MRITHI, JIMBO LA LONGIDO, SONGEA NAKO MABO YAIVA



Kamati Kuu ya Halmashauri  Kuu  ya  Taifa  ya  CCM,  na  kwa  niaba  ya  Halmashauri Kuu  ya  Taifa  (NEC) imefanya  uteuzi  wa  mwisho  kwa  wanachama wa  CCMwatakagombea  katika  Uchaguzi wa Ubunge katika Majimbo matatu.

Katibu Mwenezi wa NEC-Itikadi na uenezi wa CCM Humphrey Polepole amesema kwamba katika kikao hicho kilichofanyika jana mjini Dodoma chini ya mwenyekiti wa chama cha CCM ambaye pia ni Rais , Dkt. John Pombe Magufuli  kilipitia majina ya walio omba dhamana na kwa kuzingatia misingi ya maadili, uchapakazi, uwakilishi   bora na wenye tija kwa wananchi.

Taarifa hiyo imesema kamati kuu imewateuwa  Monko  Justine  Joseph,  Mgombea  wa  CCM Jimbo la Singida Kaskazini,Ndg.  Damas  Daniel  Ndumbaro,  Mgombea  wa CCM Jimbo la Songea Mjini na Ndg.  Dkt.  Stephen  Lemomo  Kiruswa,  Mgombea wa CCM Jimbo la Longido.


Hivyo makala NYALANDU APATA MRITHI, JIMBO LA LONGIDO, SONGEA NAKO MABO YAIVA

yaani makala yote NYALANDU APATA MRITHI, JIMBO LA LONGIDO, SONGEA NAKO MABO YAIVA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NYALANDU APATA MRITHI, JIMBO LA LONGIDO, SONGEA NAKO MABO YAIVA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/nyalandu-apata-mrithi-jimbo-la-longido.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NYALANDU APATA MRITHI, JIMBO LA LONGIDO, SONGEA NAKO MABO YAIVA"

Post a Comment