title : Mahakama Kuu Yatupilia Mbali Mapingamizi Ya Serikali....Rufaa Ya Mbowe Kusikilizwa Saa Nane Mchana
kiungo : Mahakama Kuu Yatupilia Mbali Mapingamizi Ya Serikali....Rufaa Ya Mbowe Kusikilizwa Saa Nane Mchana
Mahakama Kuu Yatupilia Mbali Mapingamizi Ya Serikali....Rufaa Ya Mbowe Kusikilizwa Saa Nane Mchana
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetupilia mbali pingamizi za serikali za kuzuia rufaa ya dhamana iliyokatwa na Mwenyekiti wa Chadema Mh.Freeman Mbowe na Esther Matiko isisikilizwe na hivyo imeamua kusikiliza rufaa hiyo leo saa nane mchana.
Mbowe, ambaye pia ni Mbunge wa Hai, sawa na Matiko wa Tarime Mjini, wamekata rufaa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam chini ya hati ya dharura wakipinga uamuzi wa Mahakama ya Kisutu kuwafutia dhamana katika kesi ya jinai inayowakabili mahakamani hapo.
Walifutiwa dhamana na Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri, anayesikiliza kesi hiyo Novemba 23 kutokana na maombi ya upande wa mashtaka yaliyodai wameshindwa kuhudhuria mahakamani wakati kesi yao ilipopangwa kwa ajili ya kusomewa maelezo ya awali bila sababu za msingi.
Hivyo makala Mahakama Kuu Yatupilia Mbali Mapingamizi Ya Serikali....Rufaa Ya Mbowe Kusikilizwa Saa Nane Mchana
yaani makala yote Mahakama Kuu Yatupilia Mbali Mapingamizi Ya Serikali....Rufaa Ya Mbowe Kusikilizwa Saa Nane Mchana Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mahakama Kuu Yatupilia Mbali Mapingamizi Ya Serikali....Rufaa Ya Mbowe Kusikilizwa Saa Nane Mchana mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/mahakama-kuu-yatupilia-mbali_30.html
0 Response to "Mahakama Kuu Yatupilia Mbali Mapingamizi Ya Serikali....Rufaa Ya Mbowe Kusikilizwa Saa Nane Mchana"
Post a Comment