NAPE AWATOLEA POVU WANASIASA WANAOHAMA VYAMA

NAPE AWATOLEA POVU WANASIASA WANAOHAMA VYAMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAPE AWATOLEA POVU WANASIASA WANAOHAMA VYAMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAPE AWATOLEA POVU WANASIASA WANAOHAMA VYAMA
kiungo : NAPE AWATOLEA POVU WANASIASA WANAOHAMA VYAMA

soma pia


NAPE AWATOLEA POVU WANASIASA WANAOHAMA VYAMA

Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amehoji sababu za vyama vya siasa kuhangaika kupokea wanachama wa vyama vingine, badala ya kushughulika na Watanzania wasio na vyama.

Akizungumza leo Jumapili Desemba 31,2017 katika mahojiano na kituo cha televisheni cha Azam, Nape amesema siku zote amekuwa na msimamo tofauti na wanachama wanaovihama vyama vyao kwa maelezo kuwa unawajenga wanaohama, si vyama.

"Kama tunataka kujenga vyama viwe vya kitaasisi ni lazima kuhamahama lisiwe suala la kawaida. Yaani mtu mpaka anahama watu waseme kweli huyu alistahili kuhama," amesema Nape.

Amesema, "Watanzania wapo zaidi ya 50 milioni, wenye uwezo wa kujiunga na vyama kikatiba wanaweza kuwa zaidi ya 30 milioni, waliopo kwenye vyama wanaweza wasifike 10 milioni. Kwa nini tunakwenda kuhangaika na wanachama wa vyama vingine badala ya kushughulika na Watanzania wasio na vyama. Tushughulike kuwashawishi hawa."

Katika kipindi hicho, mwenyekiti wa kamati ya uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro na mwanahabari mkongwe, Dk Gideon Shoo waliungana na Nape kukosoa vitendo vya wanachama kuvihama vyama vyao.

Kwa mtazamo wao, hamahama ya wanasiasa ni miongoni mwa kasoro zilizojitokeza mwaka 2017


Hivyo makala NAPE AWATOLEA POVU WANASIASA WANAOHAMA VYAMA

yaani makala yote NAPE AWATOLEA POVU WANASIASA WANAOHAMA VYAMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAPE AWATOLEA POVU WANASIASA WANAOHAMA VYAMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/nape-awatolea-povu-wanasiasa-wanaohama.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAPE AWATOLEA POVU WANASIASA WANAOHAMA VYAMA"

Post a Comment