RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN ZIARANI WILAYA YA MAGHARIBI B LEO

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN ZIARANI WILAYA YA MAGHARIBI B LEO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN ZIARANI WILAYA YA MAGHARIBI B LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN ZIARANI WILAYA YA MAGHARIBI B LEO
kiungo : RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN ZIARANI WILAYA YA MAGHARIBI B LEO

soma pia


RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN ZIARANI WILAYA YA MAGHARIBI B LEO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Mwenyekiti wa kampuni ya Azam Group  Bw.Said Salim Bakhresa mara alipowasili katika Viwanja vya Ujenzi wa Nyumba za kisasa huko Fumba wakati alipotembelea kuangalia Maendeleo ya Ujenzi huo akiwa katika ziara ya Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Mgharibi
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Group  Bw.Said Salim Bakhresa (wa pili kushoto) alipotembelea eneo la ufukwe katika Ujenzi wa Nyumba za kisasa huko Fumba wakati alipotembelea kuangalia Maendeleo ya Ujenzi huo akiwa katika ziara ya Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Mgharibi
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Kisasa zinazojengwa na Kampuni ya Azam Group  katika Kijiji cha Fumba  Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Mgharibi leo wakati alipotembelea kuangalia Maendeleo ya Ujenzi huo akiwa katika ziara Wilaya ya Magharibi"B"
 Miongoni mwa Nyumba za kisasa ambazo zinajengwa na kampuni ya Azam Group huko Fumba Wilaya ya magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Group  Bw.Said Salim Bakhresa (wa pili kushoto) alipotembelea eneo la ufukwe katika Ujenzi wa Nyumba za kisasa huko Fumba wakati alipotembelea kuangalia Maendeleo ya Ujenzi huo akiwa katika ziara ya Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Mgharibi. 


Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN ZIARANI WILAYA YA MAGHARIBI B LEO

yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN ZIARANI WILAYA YA MAGHARIBI B LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN ZIARANI WILAYA YA MAGHARIBI B LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/rais-wa-zanzibar-dkt-shein-ziarani_21.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN ZIARANI WILAYA YA MAGHARIBI B LEO"

Post a Comment