title : MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFUGULI AFUNGUA MKUTANO WA JUMUIYA YA WAZAZI MJINI DODOMA LEO
kiungo : MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFUGULI AFUNGUA MKUTANO WA JUMUIYA YA WAZAZI MJINI DODOMA LEO
MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFUGULI AFUNGUA MKUTANO WA JUMUIYA YA WAZAZI MJINI DODOMA LEO
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mama Maria Nyerere na Mama Fatma Karume wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa Jumuiya ya Wazazi katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma leo Desemba 12, 2017.
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Brigedia Generali John Julius Mbungo wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa Jumuiya ya Wazazi katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma leo Desemba 12, 2017.
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa kaongozana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi aliyemaliza muda wake Alhaj Abdallah Majura Bulembo (kushoto) na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na viongozi wengine baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Tisa wa Jumuiya ya Wazazi katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma leo Desemba 12, 2017.
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Ndg. Kheri James baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Tisa wa Jumuiya ya Wazazi katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma leo Desemba 12, 2017.
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa Tisa wa Jumuiya ya Wazazi katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma leo Desemba 12, 2017.
Wake wa viongozi kutoka kushoto Mama Janeth Magufuli, Mama Maria Nyerere, Mama Mary Majaliwa na Mama Bulembo wakiwa katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Jumuiya ya Wazazi katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma leo Desemba 12, 2017.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahmana Kinana akiwa na Mama Maria Nyerere muda mfupi kabla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa Jumuiya ya Wazazi katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma leo Desemba 12, 2017.
Wajumbe wakimshangilia Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Tisa wa Jumuiya ya Wazazi katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma leo Desemba 12, 2017.
PICHA NA IKULU.
Hivyo makala MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFUGULI AFUNGUA MKUTANO WA JUMUIYA YA WAZAZI MJINI DODOMA LEO
yaani makala yote MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFUGULI AFUNGUA MKUTANO WA JUMUIYA YA WAZAZI MJINI DODOMA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFUGULI AFUNGUA MKUTANO WA JUMUIYA YA WAZAZI MJINI DODOMA LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/mwenyekiti-wa-ccm-rais-dkt-magufuguli_95.html
0 Response to "MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFUGULI AFUNGUA MKUTANO WA JUMUIYA YA WAZAZI MJINI DODOMA LEO"
Post a Comment