Wananchi wa Shehia ya Wingwi Mapofu Wapata Elimu ya Sheria.

Wananchi wa Shehia ya Wingwi Mapofu Wapata Elimu ya Sheria. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wananchi wa Shehia ya Wingwi Mapofu Wapata Elimu ya Sheria., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wananchi wa Shehia ya Wingwi Mapofu Wapata Elimu ya Sheria.
kiungo : Wananchi wa Shehia ya Wingwi Mapofu Wapata Elimu ya Sheria.

soma pia


Wananchi wa Shehia ya Wingwi Mapofu Wapata Elimu ya Sheria.

Sheha wa shehia ya Wingwi mapofu, Ali Hamad Saleh akifunga mkutano wa  wazi, ulioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, kwa ajili ya wananchi wake , kupewa msaada wa kisheria, mkutano huo ulifanyika skuli ya maandalizi shehiani humo
Afisa Mipango wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Mohamed Hassan Ali, akijibu maswali ya kisheria ya wananchi wa shehia ya Wingwi mapofu wilaya ya Micheweni Pemba, kwenye mkutano wa wazi wa kutoa msaada wa kisheria, ulioandaliwa na ZLSC na kufanyika skuli ya maandalizi ya shehia hiyo
Wananchi wa shehia ya Wingwi mapofu wilaya ya Micheweni Pemba, wakifuatilia mkutano wa wazi wa kupewa masaada wa kisheria, ulioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar, ZLSC tawi la Pemba na kufanyika skuli ya Maandalizi ya kijiji hicho
Vijana wa Shehia ya Wingwi mapofu wilaya ya Micheweni Pemba, wakisoma majarida yanayochapishwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC, mara baada ya kumalizika, kwa mkutano wa kuwapa msaada wa sheria wananchi hao, mkutano huo ulioandaliwa na ZLSC na kufanyika skuli ya Maandalizi shehiani hapo
 Mwananchi wa Shehia ya Wingwi mapofu, wilaya ya Micheweni Pemba, akiuliza suali, kwenye mkutano wa wazi, wa kutoa masaada wa kisheria kwao, mkutano huo uliandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba
WANANCHI wa shehia ya Wingwi mapofu wilaya ya Micheweni Pemba, wakifuatilia mkutano wa wazi wa kupewa masaada wa kisheria, ulioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar, ZLSC tawi la Pemba na kufanyika skuli ya Maandalizi ya kijiji hicho.(Picha na Haji Nassor Pemba)


Hivyo makala Wananchi wa Shehia ya Wingwi Mapofu Wapata Elimu ya Sheria.

yaani makala yote Wananchi wa Shehia ya Wingwi Mapofu Wapata Elimu ya Sheria. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wananchi wa Shehia ya Wingwi Mapofu Wapata Elimu ya Sheria. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/wananchi-wa-shehia-ya-wingwi-mapofu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wananchi wa Shehia ya Wingwi Mapofu Wapata Elimu ya Sheria."

Post a Comment