Mkurugenzi Mtendaji CRDB Atangaza Kung'atuka

Mkurugenzi Mtendaji CRDB Atangaza Kung'atuka - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkurugenzi Mtendaji CRDB Atangaza Kung'atuka, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkurugenzi Mtendaji CRDB Atangaza Kung'atuka
kiungo : Mkurugenzi Mtendaji CRDB Atangaza Kung'atuka

soma pia


Mkurugenzi Mtendaji CRDB Atangaza Kung'atuka

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk Charles Kimei amesema hatoongeza muda wa kuiongoza taasisi hiyo baada ya mkataba wake kukamilika Mei, 2019.

Mkurugenzi huyo atakayekuwa ameiongoza CRDB kwa miaka 21 atakapostaafu, amesema uamuzi huo anaufanya kupisha damu mpya kuendeleza mafanikio ya benki hiyo kubwa nchini.

“Si vizuri kung’ang’ania madaraka. Tunao wakurugenzi tuliowaandaa kwa muda mrefu ambao wanaweza kuendeleza nitakapoishia. Ninapisha damu changa nami nitaendelea kuwa mwanahisa wa kawaida,” amesema Dk Kimei leo Alhamisi Desemba 28,2017.

Kwa utaratibu wa benki hiyo, mchakato wa kumpata mkurugenzi mtendaji huchukua miezi 18 lakini Dk Kimei ameongeza mwezi mmoja na kuifanya 19 ili kuipa bodi ya wakurugenzi nafasi zaidi ya kukamilisha hatua hizo.

Amesema ingawa upo mfumo mzuri wa kurithishana madaraka ndani ya benki hiyo, lakini mwenyekiti na bodi wana uhuru wa kumchagua mtu mwenye sifa za ziada kutoka nje na kushirikiana na familia ya benki kuendeleza mafanikio.

“Katiba yetu inataka Mtanzania ndiye aiongoze CRDB. Ninaiamini timu niliyoshirikiana nayo tangu niingie hapa. Hata benki nyingine zinazotafuta wakurugenzi watendaji, ningezishauri zije CRDB,” amesema.

Ndani ya muda uliobaki kabla mkurugenzi mpya hajakaribishwa, Dk Kimei amesema angependa kuona inapata faida kama ya mwaka 2015 ilipotengeneza Sh187 bilioni ikiongezeka kutoka Sh148 mwaka 2014.


Hivyo makala Mkurugenzi Mtendaji CRDB Atangaza Kung'atuka

yaani makala yote Mkurugenzi Mtendaji CRDB Atangaza Kung'atuka Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkurugenzi Mtendaji CRDB Atangaza Kung'atuka mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/mkurugenzi-mtendaji-crdb-atangaza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mkurugenzi Mtendaji CRDB Atangaza Kung'atuka"

Post a Comment