MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA SHEIN AKABIDHI MSAADA WA VYARAHANI ZANZIBAR.

MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA SHEIN AKABIDHI MSAADA WA VYARAHANI ZANZIBAR. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA SHEIN AKABIDHI MSAADA WA VYARAHANI ZANZIBAR., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA SHEIN AKABIDHI MSAADA WA VYARAHANI ZANZIBAR.
kiungo : MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA SHEIN AKABIDHI MSAADA WA VYARAHANI ZANZIBAR.

soma pia


MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA SHEIN AKABIDHI MSAADA WA VYARAHANI ZANZIBAR.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein kulia akipeana mikono ikiwa ni ishara ya kupokelewa na Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Maudline Cyrus Castico mara baada ya kuwasili katika ofisi ya Ushirika wa akina Mama (SIRI MOYONI) Unguja Ukuu Kae pwani Wilaya ya Kati Unguja.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akiangalia nguo ilioshonwa na Wanaushirika wa akina Mama (SIRI MOYONI) mara baada ya kuwasili na kwenda kuangalia maonesho ya Ujasiria mali unaofanywa na Ushirika huo Unguja Ukuu Kae pwani Wilaya ya Kati Unguja.Wanyuma yake ni Mke wa Balozi mdogo wa China aliopo Zanzibar Mama Liu Jie.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akitoa hotuba mara baada ya kukabidhi msdaada wa Vyarahani kwa Ushirika wa akina Mama (SIRI MOYONI) Unguja Ukuu Kae pwani Wilaya ya Kati Unguja.kulia yake ni Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Maudline Cyrus Castico na kushoto yake ni  Mke wa Balozi mdogo wa China aliopo Zanzibar Mama Liu Jie.
Mke wa Balozi mdogo wa China aliopo Zanzibar Mama Liu Jie.akitoa hotuba katika sherehe ya upokeaji msaada wa Vyarahani uliotolewa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein kwa kikundi cha Ushirika wa akina Mama (SIRI MOYONI) Unguja Ukuu Kae pwani Wilaya ya Kati Unguja.
Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Maudline Cyrus Castico akitoa hotuba ya makaribisho katika sherehe ya upokeaji msaada wa Vyarahani uliotolewa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein kwa kikundi cha Ushirika wa akina Mama (SIRI MOYONI) Unguja Ukuu Kae pwani Wilaya ya Kati Unguja.
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria katika sherehe ya upokeaji msaada wa Vyarahani uliotolewa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein kwa kikundi cha Ushirika wa akina Mama (SIRI MOYONI) Unguja Ukuu Kae pwani Wilaya ya Kati Unguja.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein kushoto akiwa pamoja na Mke wa Balozi mdogo wa China aliopo Zanzibar Mama Liu Jie wakikabidhi msaada wa Vyarahani kwa Ushirika wa akina Mama (SIRI MOYONI) Unguja Ukuu Kae pwani Wilaya ya Kati Unguja. 
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akiwa katika picha ya pamoja na viongozo na Wnaushirika akina Mama (SIRI MOYONI) Unguja Ukuu Kae pwani Wilaya ya Kati Unguja.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.


Hivyo makala MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA SHEIN AKABIDHI MSAADA WA VYARAHANI ZANZIBAR.

yaani makala yote MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA SHEIN AKABIDHI MSAADA WA VYARAHANI ZANZIBAR. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA SHEIN AKABIDHI MSAADA WA VYARAHANI ZANZIBAR. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/mke-wa-rais-wa-zanzibar-mama-shein.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA SHEIN AKABIDHI MSAADA WA VYARAHANI ZANZIBAR."

Post a Comment