MATUKIO YANAYOJIRI KATIKA ZIARA YA KIKAZI YA BALOZI MAHIGA NCHINI CHINA

MATUKIO YANAYOJIRI KATIKA ZIARA YA KIKAZI YA BALOZI MAHIGA NCHINI CHINA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MATUKIO YANAYOJIRI KATIKA ZIARA YA KIKAZI YA BALOZI MAHIGA NCHINI CHINA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MATUKIO YANAYOJIRI KATIKA ZIARA YA KIKAZI YA BALOZI MAHIGA NCHINI CHINA
kiungo : MATUKIO YANAYOJIRI KATIKA ZIARA YA KIKAZI YA BALOZI MAHIGA NCHINI CHINA

soma pia


MATUKIO YANAYOJIRI KATIKA ZIARA YA KIKAZI YA BALOZI MAHIGA NCHINI CHINA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga akiongea jambo wakati alipokuwa katika mazungumzo rasmi na Naibu Waziri wa Biashara wa China, Mhe. Qian Keming jijini Beijing. 
Naibu Waziri wa Biashara wa China, Mhe. Qian Keming akisisitiza jambo alipokuwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt.Augustine Mahiga leo jijini Beijing. 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga (kulia) akiwa na ujumbe wake aliongozana nao katika ziara ya kikazi nchini China. Kutoka kushoto ni Mwambata Jeshi wa Ubalozi wa Tanzania nchini China, Kanali Remigius Ng'umbi anayefuata ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Dkt. Thomas Kashililah na Balozi wa Tanzania nchini China, Mhe. Mbelwa Kairuki.
Wajumbe wa pande mbili za China na Tanzania wakiwa katika mazungumzo. 
Wajumbe wengine wa Tanzania wakifuatilia mazungumzo. Kutoka kulia ni Kamishna Msaidizi kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Malmeltha Mutagwaba, Naibu Katibu Mkuu wa Biashara na Uwekezaji kutoka Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Prof. Joseph Buchweishaija na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango kutoka Serikali ya Zanzibar, Bw. Khamis Omar.
Balozi Mahiga akitoa zawadi ya picha kwa Naibu Waziri wa Biashara wa China, Mhe. Qian Keming. 

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA



Hivyo makala MATUKIO YANAYOJIRI KATIKA ZIARA YA KIKAZI YA BALOZI MAHIGA NCHINI CHINA

yaani makala yote MATUKIO YANAYOJIRI KATIKA ZIARA YA KIKAZI YA BALOZI MAHIGA NCHINI CHINA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO YANAYOJIRI KATIKA ZIARA YA KIKAZI YA BALOZI MAHIGA NCHINI CHINA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/matukio-yanayojiri-katika-ziara-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MATUKIO YANAYOJIRI KATIKA ZIARA YA KIKAZI YA BALOZI MAHIGA NCHINI CHINA"

Post a Comment