HALI YA KISIASA UGANDA KUIBEBA TAIFA STARS LEO?

HALI YA KISIASA UGANDA KUIBEBA TAIFA STARS LEO? - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HALI YA KISIASA UGANDA KUIBEBA TAIFA STARS LEO?, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HALI YA KISIASA UGANDA KUIBEBA TAIFA STARS LEO?
kiungo : HALI YA KISIASA UGANDA KUIBEBA TAIFA STARS LEO?

soma pia


HALI YA KISIASA UGANDA KUIBEBA TAIFA STARS LEO?

Wakati wadau wengi wa soka hapa nchini na Uganda wakisubiria kwa hamu pambano baina ya mataifa hayo mawili kati ya Uganda The Cranes dhidi ya Taifa Stars, inaelezwa vuguvugu la kisiasa linaweza kuwatoa waganda mchezoni.

Taarifa za ndani kutoka Kampala zinasema kutokana na kutokuwapo na hali shwari ya kisiasa nchini humo inawezekana kwa namna moja ama nyingine inaweza ikaathiri hamasa na shamrashamra za mechi hiyo kwa waganda.

The Cranes inaenda kuchuana na Stars ikiwa imegubikwa na matukio kadhaa ya kisiasa ikiwemo sakata la Mwanasiasa na Mwanamuziki Robert Kyagulanyi 'Bob Wine' ambaye yupo nchini Marekani kwa matibabu.

Aidha, ukiachana na Bob Wine baadhi ya matukio mengine yameripotiwa kuchagiza kwa kupoteza mvuto wa mechi hiyo ambayo inafanyika leo kwenye Uwanja wa Mandela.

Licha ya uwepo wa matukio hayo, tayari timu zote mbili zilishaamilisha maandalizi kwa ajili ya kukipiga ambapo katika kund L Uganda ipo kileleni ikiwa na alama tatu huku Stars na Lesotho zikiwa na alama 1 kwa kila mmoja.



Hivyo makala HALI YA KISIASA UGANDA KUIBEBA TAIFA STARS LEO?

yaani makala yote HALI YA KISIASA UGANDA KUIBEBA TAIFA STARS LEO? Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HALI YA KISIASA UGANDA KUIBEBA TAIFA STARS LEO? mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/hali-ya-kisiasa-uganda-kuibeba-taifa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "HALI YA KISIASA UGANDA KUIBEBA TAIFA STARS LEO?"

Post a Comment