Mamia wajitokeza siku ya Uhuru, uwanja wafungwa

Mamia wajitokeza siku ya Uhuru, uwanja wafungwa - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mamia wajitokeza siku ya Uhuru, uwanja wafungwa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mamia wajitokeza siku ya Uhuru, uwanja wafungwa
kiungo : Mamia wajitokeza siku ya Uhuru, uwanja wafungwa

soma pia


Mamia wajitokeza siku ya Uhuru, uwanja wafungwa

Wakazi wa mji wa Dodoma na viunga vyake mapema leo Jumamosi, Desemba 9, 2017 wamejitokeza kushuhudia maadhimisho ya miaka 56 ya uhuru kwenye Uwanja wa Jamhuri.

Taratibu za ukaguzi wa kiusalama, zilifanya misururu mirefu baada ya kutumika geti moja kuingilia ndani ya Uwanja wa Jamuhuri.

Hali hiyo ilifanya misururu mrefu kuanzia geti la kuingilia uwanjani kufika katika barabara inayoelekea Nkuhungu.

Mabasi makubwa yanayotoka katika wilaya za jirani yalionekana yakishusha watu tangu saa 11.00 alfajiri kuwahi foleni.

Watu walianza kuingia uwanjani huku vikundi mbalimbali vya burudani vikitumbuiza.

Saa 2:00 asubuhi, gwaride maalumu lililojumuisha vikosi vya ulinzi na usalama viliingia uwanjani.

Viongozi mbalimbali walianza kuwasili uwanjani kuanzia saa 1:00 asubuhi wakiwemo mke wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mama Fatma Karume, mke wa Rais ya Kwanza wa Tanzania Mama Maria Nyerere na aliyekuwa makamu wa kwanza wa Rais, Mohammed Gharib Bilal.

Mwenyekiti wa CUF anayetambulika na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa, Profesa Ibrahim Lipumba na mwenyekiti wa TLP, Augustine Mrema ni baadhi ya viongozi wa kisiasa walioonekana uwanjani hapo.

Viongozi wengine waliofika asubuhi uwanjani hapo ni Rais wa Zanzibar, Ali Mohamed Shein, Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, mke wa Rais, Janeth Magufuli, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, majaji wakuu wa makatibu wakuu wa wizara mbalimbali, Spika wa Bunge Job Ndugai, mawaziri na wabunge.

Tayari Uwanja wa Jamhuri umejaa na wanan


Hivyo makala Mamia wajitokeza siku ya Uhuru, uwanja wafungwa

yaani makala yote Mamia wajitokeza siku ya Uhuru, uwanja wafungwa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mamia wajitokeza siku ya Uhuru, uwanja wafungwa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/mamia-wajitokeza-siku-ya-uhuru-uwanja.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mamia wajitokeza siku ya Uhuru, uwanja wafungwa"

Post a Comment