SERIKALI,WADAU WA MAENDELEO NA TASAF WAENDELEA NA VIKAO KAZI VYA KUTATHIMINI UTEKELEZAJI WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI MJINI DAR ES SALAAM.

SERIKALI,WADAU WA MAENDELEO NA TASAF WAENDELEA NA VIKAO KAZI VYA KUTATHIMINI UTEKELEZAJI WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI MJINI DAR ES SALAAM. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI,WADAU WA MAENDELEO NA TASAF WAENDELEA NA VIKAO KAZI VYA KUTATHIMINI UTEKELEZAJI WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI MJINI DAR ES SALAAM., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI,WADAU WA MAENDELEO NA TASAF WAENDELEA NA VIKAO KAZI VYA KUTATHIMINI UTEKELEZAJI WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI MJINI DAR ES SALAAM.
kiungo : SERIKALI,WADAU WA MAENDELEO NA TASAF WAENDELEA NA VIKAO KAZI VYA KUTATHIMINI UTEKELEZAJI WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI MJINI DAR ES SALAAM.

soma pia


SERIKALI,WADAU WA MAENDELEO NA TASAF WAENDELEA NA VIKAO KAZI VYA KUTATHIMINI UTEKELEZAJI WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI MJINI DAR ES SALAAM.


NA ESTOM SANGA-TASAF

Vikao Kazi vya Serikali na Wadau wa Maendeleo vinaendelea kufanyika mjini Dar es salaam kupitia utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini unaoratibiwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF kwa kipindi cha miezi sita iliyopita.

Mapitio hayo ni utaratibu wa kawaida wa kupima mafanikio na changamoto zilizojitokeza katika utekelezaji wa Mpango wa kunusuru kaya masikini unaohudumia kaya za walengwa zipatazo MILIONI MOJA NA LAKI MOJA nchini kote.

Washiriki wa vikao kazi hivyo vinavyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Ofisi za makao makuu ya TASAF mjini Dar es salaam, ni pamoja na baadhi ya maafisa wa serikali kutoka Wizara ya Fedha, serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Ofisi ya Rais,Benki ya Dunia,UNICEF,Shirika la Misaada la Ireland,na Shirika la Misaada la Uingereza DFID.

Wengine ni kutoka UNDP,USAID ,ILO,Fundacion Capital,Brac Tanzania, SVPO Zanzibar,PO- RALG Dodoma, VPO-DOE,MOHCDGEC ,Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Wizara ya Ujenzi,na Wizara ya Kilimo. TASAF imekuwa ikishirikiana na Wizara na wadau hao wa Maendeleo katika kutekelezaji jitihada za serikali za kupunguza adha ya umaskini kwa wananchi wanaoishi katika umasikini uliokithiri.

Vikao kazi hivyo ambavyo vinafanyika baada ya kutembelea maeneo kadhaa ya utekelezaji wa Mpango pia vinajadili muundo wa Awamu ya pili ya Mpango wa kunusuru kaya masikini na vitahitimishwa hapo kesho na kisha siku inayofuata andiko la pamoja la mapendekezo ya kuboresha utekelezaji wa Mpango litafikiwa na kisha kuwasilishwa serikalini kupata idhini.
Moja ya kundi la watendaji wa serikali, wadau wa maendeleo na TASAF wakiendelea na mjadala.
Pichani, baadhi ya maafisa wa TASAF na wadau wa maendeleo wakiendelea na majadiliano juu ya masuala ya uboireshaji wa shughuli za mpango.
Pichani ya juu na chini ni wajumbe wa kikao kazi cha maafisa wa TASAF na wadauy wa maendeleo wakiwa kwenye moja ya kumbi kujadili mafanikio na changamoto wa Mpango wa kunusuru kaya masikini.
Pichani baadhi ya washiriki wa vikao kazi kati ya wadau wa maendeleo, TASAF na serikali wakiendelea na mjadala.


Hivyo makala SERIKALI,WADAU WA MAENDELEO NA TASAF WAENDELEA NA VIKAO KAZI VYA KUTATHIMINI UTEKELEZAJI WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI MJINI DAR ES SALAAM.

yaani makala yote SERIKALI,WADAU WA MAENDELEO NA TASAF WAENDELEA NA VIKAO KAZI VYA KUTATHIMINI UTEKELEZAJI WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI MJINI DAR ES SALAAM. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI,WADAU WA MAENDELEO NA TASAF WAENDELEA NA VIKAO KAZI VYA KUTATHIMINI UTEKELEZAJI WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI MJINI DAR ES SALAAM. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/serikaliwadau-wa-maendeleo-na-tasaf.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERIKALI,WADAU WA MAENDELEO NA TASAF WAENDELEA NA VIKAO KAZI VYA KUTATHIMINI UTEKELEZAJI WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI MJINI DAR ES SALAAM."

Post a Comment