title : MAKALA YA SHERIA: UTARATIBU UNAOSTAHILI KUFUATWA KABLA YA KUFUTIWA UMILIKI WA ARDHI
kiungo : MAKALA YA SHERIA: UTARATIBU UNAOSTAHILI KUFUATWA KABLA YA KUFUTIWA UMILIKI WA ARDHI
MAKALA YA SHERIA: UTARATIBU UNAOSTAHILI KUFUATWA KABLA YA KUFUTIWA UMILIKI WA ARDHI
Na Bashir Yakub.
Yafaa kujua utaratibu unaotakiwa kufuatwa kabla ya kufutiwa hati miliki ya ardhi (nyumba/kiwanja). Unapojua utaratibu huu ndipo unapojua kama ulionewa au hapana. Na kuonewa ni pamoja na kukiuka utaratibu. Na kukiuka taratibu yoyote ya kisheria kunabatilisha mchakato wa kufutwa kwa hati yako na kutakiwa kurudishiwa eneo lako au fidia.
Makala yaliyopita tulieleza mambo ambayo ukifanya unahesabika kukiuka masharti ya umiliki wa ardhi na ni hapo unapoweza kufutiwa umiliki. Leo tuangalie utaratibu wa kufuta umiliki ikiwa imethibitika kuwa tayari umekiuka masharti hayo. Sheria namba 4 ya 1999 , Sheria Ya ardhi imeeleza utaratibu wa kufuta umiliki wa ardhi.
UTARATIBU.
1.Ni lazima uwe umekiuka masharti au moja ya masharti uliyopewa wakati unakabidhiwa ardhi/hati kwa mujibu wa kifungu cha 48 ( 1) cha Sheria ya ardhi. Usikubali kufutiwa umiliki ikiwa hujakiuka sharti/masharti ya umiliki uliyopewa, labda iwe vinginevyo.
2. Baada ya kuwa umekiuka masharti yafaa upewe taarifa maalum( notice) kwa mujibu wa kifungu 48(2). Ni taarifa inayoeleza masharti ya umiliki uliyokiuka na onyo la kufutiwa umiliki. Taarifa hiyo ni ya siku 90(miezi mitatu). Taarifa hiyo utapewa wewe mmiliki na kila mwenye maslahi katika ardhi hiyo mf, mpangaji, mrehani nk. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
Hivyo makala MAKALA YA SHERIA: UTARATIBU UNAOSTAHILI KUFUATWA KABLA YA KUFUTIWA UMILIKI WA ARDHI
yaani makala yote MAKALA YA SHERIA: UTARATIBU UNAOSTAHILI KUFUATWA KABLA YA KUFUTIWA UMILIKI WA ARDHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKALA YA SHERIA: UTARATIBU UNAOSTAHILI KUFUATWA KABLA YA KUFUTIWA UMILIKI WA ARDHI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/makala-ya-sheria-utaratibu-unaostahili.html
0 Response to "MAKALA YA SHERIA: UTARATIBU UNAOSTAHILI KUFUATWA KABLA YA KUFUTIWA UMILIKI WA ARDHI"
Post a Comment