MAHAFALI YA 16 YA CHUO KIKUU MZUMBE KAMPASI YA DAR

MAHAFALI YA 16 YA CHUO KIKUU MZUMBE KAMPASI YA DAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAHAFALI YA 16 YA CHUO KIKUU MZUMBE KAMPASI YA DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAHAFALI YA 16 YA CHUO KIKUU MZUMBE KAMPASI YA DAR
kiungo : MAHAFALI YA 16 YA CHUO KIKUU MZUMBE KAMPASI YA DAR

soma pia


MAHAFALI YA 16 YA CHUO KIKUU MZUMBE KAMPASI YA DAR


Mlau, Prof. Binamungu akiongoza maandamano kuelekea sehemu ya mahafali. 



Mwenyekiti wa Baraza la Chuo, Prof. Mathew Luhanga, akitoa hotuba yake wakati wa mahafali ya 16 ya Chuo Kikuu Mzumbe kampasi ya Dar es Salaam.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka, akitoa hotuba yake wakati wa mahafali ya 16 ya chuo hicho kampasi ya Dar es Salaam.


Kaimu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kampasi ya Dar es Salaam, Dk. Lucy Massoi, akiwatambua wanachuo na wahadhiri waliofanya vizuri.

Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Jaji mstaafu, Barnabas Samatta, akimkabidhi cheti mmoja wa wanachuo aliyefanya vizuri, Gloria Mbigiri wakati wa mahafali ya 16 ya chuo hicho kampasi ya Dar es Salaam.

Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Jaji mstaafu, Barnabas Samatta, akimkabidhi cheti mmoja wa wanachuo aliyefanya vizuri, Elihuruma Mabelya wakati wa mahafali ya 16 ya chuo hicho kampasi ya Dar es Salaam.



Baadhi ya wahitimu wa Shahada ya Umahiri ya Uongozi wa Biashara katika Menejimenti ya Biashara wakitunukiwa shahada zao na Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Jaji mstaafu, Barnabas Samatta (hayupo pichani), wakati wa mahafali ya 16 ya chuo hicho kampasi ya Dar es Salaam.


KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala MAHAFALI YA 16 YA CHUO KIKUU MZUMBE KAMPASI YA DAR

yaani makala yote MAHAFALI YA 16 YA CHUO KIKUU MZUMBE KAMPASI YA DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAHAFALI YA 16 YA CHUO KIKUU MZUMBE KAMPASI YA DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/mahafali-ya-16-ya-chuo-kikuu-mzumbe_23.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAHAFALI YA 16 YA CHUO KIKUU MZUMBE KAMPASI YA DAR"

Post a Comment