Kauli ya Mtoto wa Babu Seya Baada ya Familia Yake Kuachiwa Huru

Kauli ya Mtoto wa Babu Seya Baada ya Familia Yake Kuachiwa Huru - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kauli ya Mtoto wa Babu Seya Baada ya Familia Yake Kuachiwa Huru, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kauli ya Mtoto wa Babu Seya Baada ya Familia Yake Kuachiwa Huru
kiungo : Kauli ya Mtoto wa Babu Seya Baada ya Familia Yake Kuachiwa Huru

soma pia


Kauli ya Mtoto wa Babu Seya Baada ya Familia Yake Kuachiwa Huru

 
IKIWA ni saa chache baada ya Mwanamuziki wa dansi Nguza Viking ‘Babu  Seya’ na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ kuachiwa huru kwa msamaha wa Rais Magufuli, mtoto wa mwanamuziki huyo, Michael Nguza amesema anamshukuru Mungu kwani familia yao ipo huru kuanzia leo.

Michael Nguza ambaye kwa sasa anajiita Nabii Michael baada ya kutoka jela amesema kwenye kesi hiyo aliyokuwa na ndugu zake:

“Namshukuru Mungu, Mungu ni mwaminifu. Siwezi kuongea mengi kwa sasa, nitatoa taarifa rasmi baadaye. Tunatarajia kufanya kikao cha familia ili kujadili suala hili na baadaye tutaulezea umma baada ya majadiliano hayo ya familia, naomba kuweni wavumilivu na wenye subira,” amesema Nabii Michael.

Rais Magufuli ametangaza uamuzi wa kuachiwa huru kwa familia ya Nguza Viking, leo Jumamosi, Desemba 2017 akiwa Mjini Dodoma wakati wa akihutubia  maadhimisho miaka 56 ya sherehe za Uhuru wa Tanganyika.

Rais Magufuli ametangaza uamuzi huo, leo Jumamosi, Desemba 2017 akiwa mjini Dodoma wakati wa akihutubia  maadhimisho miaka 56 ya sherehe za Uhuru wa Tanganyika.


Hivyo makala Kauli ya Mtoto wa Babu Seya Baada ya Familia Yake Kuachiwa Huru

yaani makala yote Kauli ya Mtoto wa Babu Seya Baada ya Familia Yake Kuachiwa Huru Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kauli ya Mtoto wa Babu Seya Baada ya Familia Yake Kuachiwa Huru mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/kauli-ya-mtoto-wa-babu-seya-baada-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kauli ya Mtoto wa Babu Seya Baada ya Familia Yake Kuachiwa Huru"

Post a Comment