SERIKALI YATOLEA UFAFANUZI KAZI YA OFISI YA MDHIBITI NA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI

SERIKALI YATOLEA UFAFANUZI KAZI YA OFISI YA MDHIBITI NA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YATOLEA UFAFANUZI KAZI YA OFISI YA MDHIBITI NA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YATOLEA UFAFANUZI KAZI YA OFISI YA MDHIBITI NA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI
kiungo : SERIKALI YATOLEA UFAFANUZI KAZI YA OFISI YA MDHIBITI NA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI

soma pia


SERIKALI YATOLEA UFAFANUZI KAZI YA OFISI YA MDHIBITI NA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI

Na Benny Mwaipaja, WFM-Dodoma

Serikali imeeleza kuwa Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haijawahi kumuhusisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika ukaguzi wa Balozi au ukaguzi wowote ule kama Umoja wa Mataifa kwa sababu hakuna ulazima wa kufanya hivyo Kikatiba na Kisheria.

Hayo yameelezwa Bungeni mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango (MB), Dkt. Ashatu Kijaji, alipokuwa akijibu swali la msingi la Mbunge wa Kiwengwa Khamisi Mtwana Ally (CCM), aliyetaka kujua ni mara ngapi Ofisi hiyo ya Bara imeishirikisha Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Zanzibar.

Akijibu swali hilo Dkt. Kijaji alisema kuwa, Ofisi hizo kila moja ina mipaka yake ya kufanya ukaguzi na kwamba jukumu la ukaguzi wa Taasisi za Muungano lipo kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

“Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali imeanzishwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na kwamba majukumu ya Ofisi hiyo yameainishwa katika ibara ya 143(2) ya katiba hiyo”. Alisema Dkt. Kijaji 
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango (MB), Dkt. Ashatu Kijaji.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala SERIKALI YATOLEA UFAFANUZI KAZI YA OFISI YA MDHIBITI NA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI

yaani makala yote SERIKALI YATOLEA UFAFANUZI KAZI YA OFISI YA MDHIBITI NA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YATOLEA UFAFANUZI KAZI YA OFISI YA MDHIBITI NA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/serikali-yatolea-ufafanuzi-kazi-ya_18.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERIKALI YATOLEA UFAFANUZI KAZI YA OFISI YA MDHIBITI NA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI"

Post a Comment