Kikosi cha Kombaini ya Mjini Kukipiga Jioni Hii Mchezo wa Fainali Kutetea Taji Lake na Timu ya Fire Boys Michuano ya Rolling Stone

Kikosi cha Kombaini ya Mjini Kukipiga Jioni Hii Mchezo wa Fainali Kutetea Taji Lake na Timu ya Fire Boys Michuano ya Rolling Stone - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kikosi cha Kombaini ya Mjini Kukipiga Jioni Hii Mchezo wa Fainali Kutetea Taji Lake na Timu ya Fire Boys Michuano ya Rolling Stone, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kikosi cha Kombaini ya Mjini Kukipiga Jioni Hii Mchezo wa Fainali Kutetea Taji Lake na Timu ya Fire Boys Michuano ya Rolling Stone
kiungo : Kikosi cha Kombaini ya Mjini Kukipiga Jioni Hii Mchezo wa Fainali Kutetea Taji Lake na Timu ya Fire Boys Michuano ya Rolling Stone

soma pia


Kikosi cha Kombaini ya Mjini Kukipiga Jioni Hii Mchezo wa Fainali Kutetea Taji Lake na Timu ya Fire Boys Michuano ya Rolling Stone

Mabingwa watetezi wa Mashindano ya Vijana ya Afrika Mashariki na Kati ya Rolling Stone timu ya Mjini Unguja  leo watatetea taji lao kwa kucheza fainali dhidi ya Fire Boys ya Karatu mchezo utapigwa saa 10:00 za jioni katika uwanja wa Julious Nyerere huko Mbulu Mkoani Manyara.

Timu hizo zilikutana katika hatua ya makundi ambapo Mjini Unguja iliwafunga Fire Boys mabao 2-0 kwa bao za Ibrahim Abdallah "Imu Mkoko" na Abdul hamid Juma "Samatta".

Ikumbukwe kuwa Mjini Unguja ndio mabingwa watetezi wa Mashindano hayo kombe ambalo walilichukua tarehe 9 July, 2016 siku ya Jumamosi timu hiyo ya ilipotwaa ubingwa huo wa Rolling stone kwa mara ya Kwanza ndani ya miaka 15 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya DAREDA ya Mkoani Manyara katika uwanja wa SHEIKH AMRI ABEID mjini Arusha.

Mashindano ya Mpira wa Miguu kwa Vijana waliochini ya umri wa miaka 17 Afrika Mashariki na Kati maarufu kama Rolling Stone, Mwaka huu 2017 yanafanyika katika Mikoa Ya Arusha na Manyara huku Manyara wakipata fursa ya Kuandaa Mashindano Hayo Kwa Mara ya Kwanza na kupewa Vituo Vitatu vya Mbulu,Babati na Mererani.


Hivyo makala Kikosi cha Kombaini ya Mjini Kukipiga Jioni Hii Mchezo wa Fainali Kutetea Taji Lake na Timu ya Fire Boys Michuano ya Rolling Stone

yaani makala yote Kikosi cha Kombaini ya Mjini Kukipiga Jioni Hii Mchezo wa Fainali Kutetea Taji Lake na Timu ya Fire Boys Michuano ya Rolling Stone Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kikosi cha Kombaini ya Mjini Kukipiga Jioni Hii Mchezo wa Fainali Kutetea Taji Lake na Timu ya Fire Boys Michuano ya Rolling Stone mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/kikosi-cha-kombaini-ya-mjini-kukipiga.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kikosi cha Kombaini ya Mjini Kukipiga Jioni Hii Mchezo wa Fainali Kutetea Taji Lake na Timu ya Fire Boys Michuano ya Rolling Stone"

Post a Comment