KAMANDA WA POLISI MKOA WA SINGIDA ASHIRIKI IBADA MAALUM YA KULIOMBEA TAIFA ILIYOANDALIWA NA UMOJA WA MAKANISA MKOA WA SINGIDA

KAMANDA WA POLISI MKOA WA SINGIDA ASHIRIKI IBADA MAALUM YA KULIOMBEA TAIFA ILIYOANDALIWA NA UMOJA WA MAKANISA MKOA WA SINGIDA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMANDA WA POLISI MKOA WA SINGIDA ASHIRIKI IBADA MAALUM YA KULIOMBEA TAIFA ILIYOANDALIWA NA UMOJA WA MAKANISA MKOA WA SINGIDA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMANDA WA POLISI MKOA WA SINGIDA ASHIRIKI IBADA MAALUM YA KULIOMBEA TAIFA ILIYOANDALIWA NA UMOJA WA MAKANISA MKOA WA SINGIDA
kiungo : KAMANDA WA POLISI MKOA WA SINGIDA ASHIRIKI IBADA MAALUM YA KULIOMBEA TAIFA ILIYOANDALIWA NA UMOJA WA MAKANISA MKOA WA SINGIDA

soma pia


KAMANDA WA POLISI MKOA WA SINGIDA ASHIRIKI IBADA MAALUM YA KULIOMBEA TAIFA ILIYOANDALIWA NA UMOJA WA MAKANISA MKOA WA SINGIDA

 Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Deborah Magiligimba akizungumza na waumini wa Kikristo(hawapo pichani) kwenye ibada maalum ya kuliombea Taifa iliyoandaliwa na Umoja wa Makanisa Mkoa wa Singida  jana.
 Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Deborah Magiligimba( wa tano kulia) akifuatilia kwa makini mahubiri wakati wa Ibada maalum ya kuliombea Taifa iliyoandaliwa na Umoja wa Makanisa Mkoa wa Singida jana  wengine pichani ni viongozi wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo  Mkoa wa Singida.
 Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Deborah Magiligimba akizungumza na waumini wa Kikristo kwenye ibada maalum ya kuliombea Taifa iliyoandaliwa na Umoja wa Makanisa Mkoa wa Singida  jana ambapo alisisitiza umuhimu wa wananchi kutii Sheria za nchi bila shuruti.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Deborah Magiligimba akizungumza na waandishi wa habari namna Jeshi la Polisi lilivyojipanga kuimarisha ulinzi katika nyumba za ibada na kumbi za starehe katika kipindi hiki cha sikukuu za Krismas na Mwaka Mpya.


Hivyo makala KAMANDA WA POLISI MKOA WA SINGIDA ASHIRIKI IBADA MAALUM YA KULIOMBEA TAIFA ILIYOANDALIWA NA UMOJA WA MAKANISA MKOA WA SINGIDA

yaani makala yote KAMANDA WA POLISI MKOA WA SINGIDA ASHIRIKI IBADA MAALUM YA KULIOMBEA TAIFA ILIYOANDALIWA NA UMOJA WA MAKANISA MKOA WA SINGIDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMANDA WA POLISI MKOA WA SINGIDA ASHIRIKI IBADA MAALUM YA KULIOMBEA TAIFA ILIYOANDALIWA NA UMOJA WA MAKANISA MKOA WA SINGIDA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/kamanda-wa-polisi-mkoa-wa-singida.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMANDA WA POLISI MKOA WA SINGIDA ASHIRIKI IBADA MAALUM YA KULIOMBEA TAIFA ILIYOANDALIWA NA UMOJA WA MAKANISA MKOA WA SINGIDA"

Post a Comment