JK AUKARIBISHA MWAKA MPYA 2018 NA WANANCHI WA MSOGA, MKOANI PWANI USIKU HUU

JK AUKARIBISHA MWAKA MPYA 2018 NA WANANCHI WA MSOGA, MKOANI PWANI USIKU HUU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JK AUKARIBISHA MWAKA MPYA 2018 NA WANANCHI WA MSOGA, MKOANI PWANI USIKU HUU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JK AUKARIBISHA MWAKA MPYA 2018 NA WANANCHI WA MSOGA, MKOANI PWANI USIKU HUU
kiungo : JK AUKARIBISHA MWAKA MPYA 2018 NA WANANCHI WA MSOGA, MKOANI PWANI USIKU HUU

soma pia


JK AUKARIBISHA MWAKA MPYA 2018 NA WANANCHI WA MSOGA, MKOANI PWANI USIKU HUU

 Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa pamoja na Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgallu, sambamba na wananchi wa mji wa Msoga Mkoani Pwani kusherehekea kuukaribisha mwaka mpya wa 2018 katika hafla iliyoandaliwa na Dkt. Kikwete kijijini kwake Msoga, usiku huu.
Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia fataki angani wakati wa sherehe ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2018, iliyofanyika usiku huu kijijini kwake Msoga, Mkoani Pwani.
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete (aliyemshika mtoto) alikuwa ni mmoja wa wakazi wa mji wa Msoga waliojumuika nyumbani kwa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kulikofanyika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2018.
 Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mkono wa heri ya mwaka mpya na baadhi ya wageni waliofika kijijini kwake hapo.
 Msanii wa Muziki wa Singeli, Msaga Sumu akitumbuiza mbela ya maelfu ya wananchi wa Msoga katika sherehe ya kuukaribisha mwaka mpya 2018, iliyofanyika Nyumbani wa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete, Msoga Mkoani pwani.
 Burudani ya Ngoma ya Asili.


Hivyo makala JK AUKARIBISHA MWAKA MPYA 2018 NA WANANCHI WA MSOGA, MKOANI PWANI USIKU HUU

yaani makala yote JK AUKARIBISHA MWAKA MPYA 2018 NA WANANCHI WA MSOGA, MKOANI PWANI USIKU HUU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JK AUKARIBISHA MWAKA MPYA 2018 NA WANANCHI WA MSOGA, MKOANI PWANI USIKU HUU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/jk-aukaribisha-mwaka-mpya-2018-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JK AUKARIBISHA MWAKA MPYA 2018 NA WANANCHI WA MSOGA, MKOANI PWANI USIKU HUU"

Post a Comment