BONANZA LA MBUNGE WA SEGEREA LAFANA

BONANZA LA MBUNGE WA SEGEREA LAFANA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BONANZA LA MBUNGE WA SEGEREA LAFANA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BONANZA LA MBUNGE WA SEGEREA LAFANA
kiungo : BONANZA LA MBUNGE WA SEGEREA LAFANA

soma pia


BONANZA LA MBUNGE WA SEGEREA LAFANA

Mbunge wa Segerea, Bonnah Kaluwa amejumuika na wakazi wa jimbo lake katika bonanza lilijomuisha michezo mbalimbali. Bonanza hilo lililofanyika katika uwanja wa Sigara uliopo Tabata lilikuwa ni hitimisho la mashindano ya Bonnah Cup 2017 ambapo fainali ilikuwa ni kati ya Kimanga Bodaboda na Sigara FC huku timu ya Bodaboda ikiibuka kidedea kwa mikwaju ya penati 5-4.

Mshindi wa fainali alijishindia shilingi milioni moja taslimu pamoja na pikipiki wakati mshindi wa pili akipata shilingi laki tano na mshindi wa tatu akiondoka na shilingi laki tatu.

Akizungumza baada ya fainali, Bonnah alisema mashindano hayo yatakuwa endelevu kila mwisho wa mwaka ili kuinua michezo jimboni hapo na kusema mshindi wa mwaka huu atapata nafasi ya kwenda Dodoma kushindana na timu ya wabunge.
Mbunge wa Segerea, Bonnah Kaluwa akisalimiana na wachezaji wa timu ya Bodaboda Kimanga kabla ya mchezo wa fainali.
Mbunge wa Segerea, Bonnah Kaluwa katika picha ya pamoja na EFM jogging club

Mbunge Bonnah Kaluwa akionyesha umahiri wa kupiga danadana akitazamwa na wachezaji wa zamani wa Taifa Stars.



Hivyo makala BONANZA LA MBUNGE WA SEGEREA LAFANA

yaani makala yote BONANZA LA MBUNGE WA SEGEREA LAFANA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BONANZA LA MBUNGE WA SEGEREA LAFANA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/bonanza-la-mbunge-wa-segerea-lafana.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BONANZA LA MBUNGE WA SEGEREA LAFANA"

Post a Comment