Watoto 10 wapandikizwa vifaa vya kusaidia kusikia Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)

Watoto 10 wapandikizwa vifaa vya kusaidia kusikia Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Watoto 10 wapandikizwa vifaa vya kusaidia kusikia Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Watoto 10 wapandikizwa vifaa vya kusaidia kusikia Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)
kiungo : Watoto 10 wapandikizwa vifaa vya kusaidia kusikia Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)

soma pia


Watoto 10 wapandikizwa vifaa vya kusaidia kusikia Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)



Madaktari bingwa wa masikio, pua na koo pamoja na wataalam wengine wakiwa katika picha ya pamoja na watoto 10 waliopandikizwa vifaa vya kusaidia kusikia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Wataalam hao leo wamewaona watoto hao wodini ili kujua maendeleo ya afya zao baada ya kupandikizwa vifaa hivyo. Kutoka kulia ni Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Masikio, Pua na Koo kutoka Misri, Prof. Lobna El Fiky, Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Masikio, Pua na Koo, Dkt. Edwin Liyombo wa Muhimbili (aliyembeba mtoto) Kushoto ni mtaalam wa vifaa vya kusaidia kusikia kutoka Misri, Mohamed El Disouky na mtaalam wa usikivu, Fayaz Jaffer na wengine ni wazazi wa watoto hao. Wazazi wa watoto hao wametoka mikoa mbalimbali nchini ikiwamo Kilimanjaro, Songea na Tanga. Hadi sasa idadi ya watoto waliopandikizwa vifaa hivyo imefikia watoto 21.
Watoto waliopandikizwa vifaa vya kusaidia kusikia wakiwa wodini baada ya kupatiwa huduma hiyo.
Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Masikio, Pua na Koo kutoka Misri, Prof. Lobna El Fiky akifuatilia maendeleo ya mtoto aliyepandikizwa vifaa vya kusaidia kusikia na wataalam wa Muhimbili kwa kushirikiana na wataalam kutoka Misri. Kushoto ni Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Masikio, Pua na Koo, Dkt. Edwin Liyombo wa Muhimbili. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Lawrence Museru na Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Upasuaji wa Muhimbili, Dkt. Sufiani Baruani. Wengine ni wataalam wa magonjwa ya masikio, pua na koo.
Mmoja wa wazazi wa watoto waliopatiwa huduma hiyo akizungumza na Prof. Lawrence Museru wa Muhimbili kuhusu maendeleo ya afya ya mtoto wake. Kushoto ni Prof. Lobna El Fiky.


Hivyo makala Watoto 10 wapandikizwa vifaa vya kusaidia kusikia Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)

yaani makala yote Watoto 10 wapandikizwa vifaa vya kusaidia kusikia Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Watoto 10 wapandikizwa vifaa vya kusaidia kusikia Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/watoto-10-wapandikizwa-vifaa-vya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Watoto 10 wapandikizwa vifaa vya kusaidia kusikia Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)"

Post a Comment