BALOZI SEIF ATAKA UWEKEZAJI KWENYE UCHAPISHAJI WA VITABU VYA KISWAHILI

BALOZI SEIF ATAKA UWEKEZAJI KWENYE UCHAPISHAJI WA VITABU VYA KISWAHILI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BALOZI SEIF ATAKA UWEKEZAJI KWENYE UCHAPISHAJI WA VITABU VYA KISWAHILI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BALOZI SEIF ATAKA UWEKEZAJI KWENYE UCHAPISHAJI WA VITABU VYA KISWAHILI
kiungo : BALOZI SEIF ATAKA UWEKEZAJI KWENYE UCHAPISHAJI WA VITABU VYA KISWAHILI

soma pia


BALOZI SEIF ATAKA UWEKEZAJI KWENYE UCHAPISHAJI WA VITABU VYA KISWAHILI

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema wakati umefika kwa Wafanyabiashara wakubwa Nchini kuwekeza katika uchapishaji wa Vitabu vya Kiswahili pamoja na kujenga Maduka makubwa ya kuuzia kazi za Kiswahili kwa vile bidhaa zinazotokana na lugha hiyo zinauzika.

Alisema Mwanataaluma au mswahili anayehitaji vitabu vya Waandishi Mahiri wa Lugha hiyo wa Zanzibar kama Profesa Said Ahmed Mohamed, Shafi Adam Shafi, Bwana Msa na wasanii wengine kama Mohamed Seif Khatibu kamwe kwa wakati huu anashindwa kuvipata.

Balozi Seif Ali Iddi alisema hayo wakati alipokuwa akilifunga Kongamano la Kimataifa la Siku mbili la Lugha ya Kiswahili lililokuwa likifanyika katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar uliopo Mtaa wa Kikwajuni Mjini Zanzibar.

Alisema ni faraja iliyoje kwa sasa kuona kiasi gani Lugha ya Kiswahili inavyoendelea kupata heshima ya kutambuliwa na kukubaliwa Kimataifa hasa kutokana na upatikanaji wa mwitiko mkubwa wa kuwa na Wataalamu waliobobea katika nyanja mbali mbali.
 Makamu wa pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi akitoa vyeti kwa Mmoja wa Washiriki wa Kongamano la kwanza la Kimataifa la Kiswahili lililofanyika Zanzibar kwa Siku mbili.
Makamu wa pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi kushoto akiwa pamoja na Mwenyekiti wa Bakiza Dr. Mohamed Seif wakiangalia baadhi ya vitabu vya Kiswahili vilivyotungwa na Magwiji wa Lugha ya Kiswahili na kusomeshwa katika skuli na vyuo mbali mbali ndani na nje ya Nchi.
Makamu wa pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi na Dr. Khatib wakifurahia moja ya Kitabu  mashuhuri cha Mtungaji Gwiji Zanzibar Bwana Mohamed Said  (Maarufu Bwana Msa).Picha na – OMPR – ZNZ.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA



Hivyo makala BALOZI SEIF ATAKA UWEKEZAJI KWENYE UCHAPISHAJI WA VITABU VYA KISWAHILI

yaani makala yote BALOZI SEIF ATAKA UWEKEZAJI KWENYE UCHAPISHAJI WA VITABU VYA KISWAHILI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI SEIF ATAKA UWEKEZAJI KWENYE UCHAPISHAJI WA VITABU VYA KISWAHILI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/balozi-seif-ataka-uwekezaji-kwenye.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BALOZI SEIF ATAKA UWEKEZAJI KWENYE UCHAPISHAJI WA VITABU VYA KISWAHILI"

Post a Comment