title : Baada ya sakata la dawa za kulevya, Wema aweka wazi mahusiano yake na RC Makonda
kiungo : Baada ya sakata la dawa za kulevya, Wema aweka wazi mahusiano yake na RC Makonda
Baada ya sakata la dawa za kulevya, Wema aweka wazi mahusiano yake na RC Makonda
Tangu mrembo Wema Sepetu akamatwe kwa tuhuma za kujihusisha na madawa ya kulevya kwa kutajwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam mnamo mwezi Februari mwaka huu, Mrembo huyo hajawahi kumposti wala kumzungumzia kwa lolote kama alivyokuwa akifanya hivyo kipindi cha nyuma.
Watu wengi waliamini kuwa kitendo cha Wema Sepetu kutajwa na RC Makonda kwenye orodha ya Wasanii waliotuhumiwa kujihusisha na madawa ya kulevya kuliondoa urafiki wao waliokuwa nao awali.
Sasa, Wema Sepetu ameamua kuwaonesha mashabiki wake kuwa hayo yote yameshaisha na kwa sasa amerudisha yake ya urafiki na RC Makonda kama ilivyokuwa zamani.
Hayo, ameyathibitisha kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuweka picha akiwa na RC Makonda na kuandika kuwa “Kila lenye mwanzo lazima mwisho uwepo“.
Hatua hiyo ya Wema Sepetu imeonekana kuwafurahisha mashabiki wake wengi wakimsapoti kwa maamuzi hayo. Pitia baadhi ya maoni ya mashabiki wake baada ya uamuzi huo
Kwa upande mwingine, mrembo Wema Sepetu bado anakabiliwa na kesi ya kutumia dawa za kulevya aina ya bangi na kesi yake itasikilizwa alhamisi ya tarehe 14 Desemba, 2017. kunako mahakama ya Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam.
Hivyo makala Baada ya sakata la dawa za kulevya, Wema aweka wazi mahusiano yake na RC Makonda
yaani makala yote Baada ya sakata la dawa za kulevya, Wema aweka wazi mahusiano yake na RC Makonda Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Baada ya sakata la dawa za kulevya, Wema aweka wazi mahusiano yake na RC Makonda mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/baada-ya-sakata-la-dawa-za-kulevya-wema.html
0 Response to "Baada ya sakata la dawa za kulevya, Wema aweka wazi mahusiano yake na RC Makonda"
Post a Comment