ASYA IDAROUS KHAMSIN KUFUNIKA SHEREHE ZA UHURU OAKLAND

ASYA IDAROUS KHAMSIN KUFUNIKA SHEREHE ZA UHURU OAKLAND - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ASYA IDAROUS KHAMSIN KUFUNIKA SHEREHE ZA UHURU OAKLAND, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ASYA IDAROUS KHAMSIN KUFUNIKA SHEREHE ZA UHURU OAKLAND
kiungo : ASYA IDAROUS KHAMSIN KUFUNIKA SHEREHE ZA UHURU OAKLAND

soma pia


ASYA IDAROUS KHAMSIN KUFUNIKA SHEREHE ZA UHURU OAKLAND

Tukiwa tunaelekea ukingoni mwa mwaka 2017 Mama wa mitindo maarufu hapa Tanzania kama Asya Idarous Khamsin, ambaye kwa sasa makazi yake ni nchini Marekani.  Ifikapo December 9th 2017  ataiwakilisha Tanzania kwa kuonyesha mitindo yake kwenye sherehe za uhuru Oakland Carlifonia.

Hivyo tukiwa kama Watanzania ni jambo la kujivunia maana Tasnia ya mitindo imekuwa ni moja kati ya vyanzo vizuri vya kuitangaza nchi yetu. Tunapaswa kuonyesha ushirikiano kwa wabunifu (Designers)  wetu wanao jituma kama Mama yetu Asya Idarous Khamsin na wengineo.

Ukiguswa unaombwa kusambaza ujumbe huu kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki wanao penda Fashion  Asante.



Hivyo makala ASYA IDAROUS KHAMSIN KUFUNIKA SHEREHE ZA UHURU OAKLAND

yaani makala yote ASYA IDAROUS KHAMSIN KUFUNIKA SHEREHE ZA UHURU OAKLAND Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ASYA IDAROUS KHAMSIN KUFUNIKA SHEREHE ZA UHURU OAKLAND mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/asya-idarous-khamsin-kufunika-sherehe.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ASYA IDAROUS KHAMSIN KUFUNIKA SHEREHE ZA UHURU OAKLAND"

Post a Comment