title : WIZARA YA NISHATI WAMPOKEA KATIBU MKUU MPYA DODOMA
kiungo : WIZARA YA NISHATI WAMPOKEA KATIBU MKUU MPYA DODOMA
WIZARA YA NISHATI WAMPOKEA KATIBU MKUU MPYA DODOMA
Wafanyakazi wa Wizara ya Nishati wamempokea rasmi Katibu Mkuu mpya, Dkt. Hamisi Hassan Mwinyimvua, Makao Makuu ya Wizara, mjini Dodoma. Mapokezi hayo yalifanyika Oktoba 31, 2017 na kuongozwa na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Lusias Mwenda. Zifuatazo ni picha za matukio mbalimbali wakati wa mapokezi hayo.
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu (kulia) akizungumza na Katibu Mkuu mpya wa Wizara, Dkt. Hamisi Mwinyimvua (kushoto), mara baada ya Katibu Mkuu kuwasili rasmi Makao Makuu ya Wizara mjini Dodoma.
Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Nishati, Dkt. Hamisi Mwinyimvua (kulia), akimsikiliza Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Lusias Mwenda (kushoto), mara baada ya kuwasili rasmi Makao Makuu ya Wizara mjini Dodoma.
Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Nishati, Dkt. Hamisi Mwinyimvua (kushoto), akisalimiana na wafanyakazi mbalimbali wa Wizara (kulia), alipowasili rasmi Makao Makuu ya Wizara, mjini Dodoma.
Hivyo makala WIZARA YA NISHATI WAMPOKEA KATIBU MKUU MPYA DODOMA
yaani makala yote WIZARA YA NISHATI WAMPOKEA KATIBU MKUU MPYA DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WIZARA YA NISHATI WAMPOKEA KATIBU MKUU MPYA DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/wizara-ya-nishati-wampokea-katibu-mkuu.html
0 Response to "WIZARA YA NISHATI WAMPOKEA KATIBU MKUU MPYA DODOMA"
Post a Comment