Waziri Kairuki afanya mazungumzo na Balozi wa Kuwait nchini leo

Waziri Kairuki afanya mazungumzo na Balozi wa Kuwait nchini leo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri Kairuki afanya mazungumzo na Balozi wa Kuwait nchini leo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri Kairuki afanya mazungumzo na Balozi wa Kuwait nchini leo
kiungo : Waziri Kairuki afanya mazungumzo na Balozi wa Kuwait nchini leo

soma pia


Waziri Kairuki afanya mazungumzo na Balozi wa Kuwait nchini leo

Waziri wa Madini, Angellah Kairuki amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Kuwait hapa nchini, Jasem Al Najem leo tarehe 24 Novemba, 2017.
Kikao hicho kimefanyika katika Ofisi za Wizara ya Madini jijini Dar es Salaam ambapo wamezungumza masula mbalimbali kuhusu uendelezaji wa Sekta ya Madini nchini.

Waziri Kairuki amesema kuwa mazungumzo yake na Balozi wa Kuwait yamelenga katika suala la uwekezaji kwenye Sekta ya Madini ambapo ameikaribisha nchi hiyo kuja kuwekeza nchini ili kuendeleza Sekta husika.
Aidha, ameongeza kuwa, katika kikao hicho wamezungumzia suala la kuwajengea uwezo Wataalam wa Madini nchini ili waweze kufanya kazi zao kwa ufanisi.

Vilevile wamejadiliana suala la kubadilisha uzoefu kati ya Kuwait na Tanzania lengo likiwa ni kuhakikisha kuwa Sekta ya Madini inachangia ipasavyo katika uchumi wa nchi husika.
 Waziri wa Madini, Angellah Kairuki (kulia) akiwa na Balozi wa Kuwait hapa nchini Jasem Al-Najem (kushoto),  katika ofisi za Wizara ya Madini jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Madini, Angellah Kairuki (kushoto) akipokea zawadi ya Ngao kutoka kwa Balozi wa Kuwait hapa nchini Jasem Al-Najem (kulia),  katika ofisi za Wizara ya Madini jijini Dar es Salaam. 
Balozi wa Kuwait hapa nchini Jasem Al-Najem (kulia) akimweleza Waziri wa Madini, Angellah Kairuki (kushoto) kuhusu alama mbalimbali zilizo katika Ngao kutoka nchini Kuwait, mara alipomtembelea katika ofisi za Wizara ya Madini jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala Waziri Kairuki afanya mazungumzo na Balozi wa Kuwait nchini leo

yaani makala yote Waziri Kairuki afanya mazungumzo na Balozi wa Kuwait nchini leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Kairuki afanya mazungumzo na Balozi wa Kuwait nchini leo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/waziri-kairuki-afanya-mazungumzo-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Waziri Kairuki afanya mazungumzo na Balozi wa Kuwait nchini leo"

Post a Comment