SAFARI YA NDEMLA YASOGEZWA MBELE, SASA KUONDOKA ALHAMIS

SAFARI YA NDEMLA YASOGEZWA MBELE, SASA KUONDOKA ALHAMIS - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SAFARI YA NDEMLA YASOGEZWA MBELE, SASA KUONDOKA ALHAMIS, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SAFARI YA NDEMLA YASOGEZWA MBELE, SASA KUONDOKA ALHAMIS
kiungo : SAFARI YA NDEMLA YASOGEZWA MBELE, SASA KUONDOKA ALHAMIS

soma pia


SAFARI YA NDEMLA YASOGEZWA MBELE, SASA KUONDOKA ALHAMIS

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Tunapenda kuwafahamisha kuwa safari ya mchezaji wetu Hamis Said Juma Ndemla iliyokuwa ifanyike leo Jumanne imesogezwa mbele.

Ndemla ambaye amepata nafasi ya kwenda kufanya majaribio katika klabu ya AFC Eskilstuna inayoshiriki ligi kuu nchini Sweden ,sasa ataondoka nchini siku ya Alhamis ya tarehe 9 ya mwezi huu.

Mabadiliko haya ya safari hayataathiri muda wake wa majaribio katika klabu hiyo,ambapo atakuwa huko kwa siku 14.

Imetolewa na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano,

Simba Sports Club.



Haji S.Manara.

7/11/2017

Simba Nguvu Moja..!!!


Hivyo makala SAFARI YA NDEMLA YASOGEZWA MBELE, SASA KUONDOKA ALHAMIS

yaani makala yote SAFARI YA NDEMLA YASOGEZWA MBELE, SASA KUONDOKA ALHAMIS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SAFARI YA NDEMLA YASOGEZWA MBELE, SASA KUONDOKA ALHAMIS mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/safari-ya-ndemla-yasogezwa-mbele-sasa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SAFARI YA NDEMLA YASOGEZWA MBELE, SASA KUONDOKA ALHAMIS"

Post a Comment