title : WATEULIWA KUUNDA KAMATI NDOGONDOGO ZA MAANDALIZI YA AFCON U17/2019 YATAYOFANYIKA NCHINI
kiungo : WATEULIWA KUUNDA KAMATI NDOGONDOGO ZA MAANDALIZI YA AFCON U17/2019 YATAYOFANYIKA NCHINI
WATEULIWA KUUNDA KAMATI NDOGONDOGO ZA MAANDALIZI YA AFCON U17/2019 YATAYOFANYIKA NCHINI
Ukiacha Kamati Kuu ya kuratibu michuano ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON U17/2019) kwa vijana wenye umri wa chini ya miaka 17, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limefanya uteuzi mwingine.
Uteuzi huo umeegemea zaidi kwa Wajumbe wa Kamati Kuu ya Maandalizi (LOC) wakiwamo viongozi wakuu wa TFF na wanafamilia wengine ambao kwa pamoja watafanya kazi ya kuandaa michuano hiyo itakayofanyika Tanzania mwaka 2019.
Wakati jina namba moja ni Mwenyekiti wa kila kamati ndogo wajumbe wengine katika kamati hizo ni kama ifuatavyo:
Miundombinu (Infrastructure)
- 1. Paul Makonda (Mwenyekiti)
- 2. Yusuph Singo
- 3. Sunday Kayuni
- 4. Leslie Liunda
- 5. Nassoro Idrissa
- 6. Mohamed Kiganja
- 7. Mhandisi Davis Shemangale
Hivyo makala WATEULIWA KUUNDA KAMATI NDOGONDOGO ZA MAANDALIZI YA AFCON U17/2019 YATAYOFANYIKA NCHINI
yaani makala yote WATEULIWA KUUNDA KAMATI NDOGONDOGO ZA MAANDALIZI YA AFCON U17/2019 YATAYOFANYIKA NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WATEULIWA KUUNDA KAMATI NDOGONDOGO ZA MAANDALIZI YA AFCON U17/2019 YATAYOFANYIKA NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/wateuliwa-kuunda-kamati-ndogondogo-za.html
0 Response to "WATEULIWA KUUNDA KAMATI NDOGONDOGO ZA MAANDALIZI YA AFCON U17/2019 YATAYOFANYIKA NCHINI"
Post a Comment