title : Mama wa mitindo Bi. Asya Idarous Khamsin Kutikisa Desemba 9 huko Oakland California Nchini Marekani.
kiungo : Mama wa mitindo Bi. Asya Idarous Khamsin Kutikisa Desemba 9 huko Oakland California Nchini Marekani.
Mama wa mitindo Bi. Asya Idarous Khamsin Kutikisa Desemba 9 huko Oakland California Nchini Marekani.
Mkongwe katika mitindo nchini Tanzania na Marekani maarufu kama Mama wa mitindo Bi. Asya Idarous Khamsin anatarajiwa kuonyesha mitindo yake mbalimbali ya ubunifu wa mavazi katika sherehe ya maalum ya Watanzania itakayofanyika tarehe 9 Desemba,2017 huko Oakland California Nchini Marekani.
Kwa mujibu wa Mama wa Mitindo, Bi. Asya Idarous Khamsin ameweka wazi kuwa, onyesho hilo litakuwa la aina yake kwani watu watakaojitokeza watashuhudia mitindo mipya kabisa ya mavazi ambauyo itaonyesha kwenye jukwaa maalum siku hiyo sambamba na Chakula maalum cha kuchangia watu wenye tatizo la ugonjwa wa Kansa nchini Tanzania.
“9 Desemba,2017 tumewaandalia onyesho maalum la mavazi. Watu wajitokeze kwa wingi kushuhudia mavazi ya ubunifu. Pia kutakuwa na ‘fundraising dinner’ ya kukusanya fedha kwa ajili ya (partnering to tackle cancer to Tanzania) ambayo inafanyika kila mwaka.
Sherehe hizo ni pamoja na kusherehekea Shamla shamla za Uhuru wa (Tanganyika) ambayo sasa ni Tanzania” Alieleza Asya Idarous Khamsin.
Hivyo makala Mama wa mitindo Bi. Asya Idarous Khamsin Kutikisa Desemba 9 huko Oakland California Nchini Marekani.
yaani makala yote Mama wa mitindo Bi. Asya Idarous Khamsin Kutikisa Desemba 9 huko Oakland California Nchini Marekani. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mama wa mitindo Bi. Asya Idarous Khamsin Kutikisa Desemba 9 huko Oakland California Nchini Marekani. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/mama-wa-mitindo-bi-asya-idarous-khamsin.html
0 Response to "Mama wa mitindo Bi. Asya Idarous Khamsin Kutikisa Desemba 9 huko Oakland California Nchini Marekani."
Post a Comment