WALICHO KIFANYA YANGA KWA PRISON, DUH SIYO POA.

WALICHO KIFANYA YANGA KWA PRISON, DUH SIYO POA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WALICHO KIFANYA YANGA KWA PRISON, DUH SIYO POA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WALICHO KIFANYA YANGA KWA PRISON, DUH SIYO POA.
kiungo : WALICHO KIFANYA YANGA KWA PRISON, DUH SIYO POA.

soma pia


WALICHO KIFANYA YANGA KWA PRISON, DUH SIYO POA.

Michezo mitano ya ligi kuu ya Tanzania Bara imepigwa katika viwanja mbalimbali hii leo siku ya Jumamosi huku wapenzi wengi wa soka wakiangazia huko Azam Complex Chamazi ambapo mabingwa watetezi Yanga SC ikicheza na Tanzania Prisons.

Hivyo mchezo huo ambao ulikua mgumu kwa pande zote mbili ambapo Prisons walikua wakwanza kupata bao huku dakika chache Yanga SC ilisawazishisha bao hili, hivyo kufanya mchezo huo umalizikekwa sare tasa ya bao 1- 1

Katika Uwanja wa Namfua wenyeji klabu ya Singida United imechomoza na ushindi wa mabao 2-1 mbele ya kikosi cha Mbeya City, Kagera Sugar imetoka sare ya bila kufungana na Stand United, wakati Ruvu Shooting ikiibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Majimaji FC huku Mbao FC ikishinda bao 1-0 mbele ya Mwadui FC.


Hivyo makala WALICHO KIFANYA YANGA KWA PRISON, DUH SIYO POA.

yaani makala yote WALICHO KIFANYA YANGA KWA PRISON, DUH SIYO POA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WALICHO KIFANYA YANGA KWA PRISON, DUH SIYO POA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/walicho-kifanya-yanga-kwa-prison-duh.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WALICHO KIFANYA YANGA KWA PRISON, DUH SIYO POA."

Post a Comment