title : Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) Yatoa Elimu ya Ufungaji wa Nyuki Kuzalisha Asili Yenye Kiwango Cha Kimataifa Kisiwani Pemba.
kiungo : Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) Yatoa Elimu ya Ufungaji wa Nyuki Kuzalisha Asili Yenye Kiwango Cha Kimataifa Kisiwani Pemba.
Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) Yatoa Elimu ya Ufungaji wa Nyuki Kuzalisha Asili Yenye Kiwango Cha Kimataifa Kisiwani Pemba.
MKURUGENZI mkuu wa Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) Khatib Mwadini Khatib, akizungumzia mikakati ya ZBS katika kuwafanya wafugaji wa nyuki kuweza kuzalisha asali bora na yenye viwango Nchini, mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa kianda cha makonyo Wawi
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla, akifungua mafunzo ya siku tatu kwa wafugaji wa nyuki Kisiwani Pemba, mafunzo yalioandaliwa na Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS), yaliyofanyika katika Kiwanda cha Makonyo Wawi
MWENYEKITI wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar na Mfugaji wa nyuki Maarufu katika jimbo la Mgogoni, Shehe Hamad Matar akizungumza katika kikao cha wafugaji wa nyuki Kisiwani Pemba, kilichoandaliwa na Taasisi ya Viwango Zanzibar, juu ya uzalishaji wa asali bora na yenye Viwango
BAADHI ya washiriki wa mafunzo ya ufugaji wa nyuki, ambao wataweza kuzalisha asali yenye viwango na itakayouzika ndani na nje ya Zaznibar, wakiwa katika mafunzo ya siku taatu yaliyoendeshwa na Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS).
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
Hivyo makala Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) Yatoa Elimu ya Ufungaji wa Nyuki Kuzalisha Asili Yenye Kiwango Cha Kimataifa Kisiwani Pemba.
yaani makala yote Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) Yatoa Elimu ya Ufungaji wa Nyuki Kuzalisha Asili Yenye Kiwango Cha Kimataifa Kisiwani Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) Yatoa Elimu ya Ufungaji wa Nyuki Kuzalisha Asili Yenye Kiwango Cha Kimataifa Kisiwani Pemba. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/taasisi-ya-viwango-zanzibar-zbs-yatoa.html
0 Response to "Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) Yatoa Elimu ya Ufungaji wa Nyuki Kuzalisha Asili Yenye Kiwango Cha Kimataifa Kisiwani Pemba."
Post a Comment