title : VODASTAR YAICHAKAZA NOKIA MAGOLI 8-1 MECHI YA KIRAFIKI
kiungo : VODASTAR YAICHAKAZA NOKIA MAGOLI 8-1 MECHI YA KIRAFIKI
VODASTAR YAICHAKAZA NOKIA MAGOLI 8-1 MECHI YA KIRAFIKI
Mashabiki watimu ya VodaStar, wakifurahia kombe lao baada ya timu yao kiichakaza timu ya Nokia kwa magoli 8-1 wakati wamchezo wakirafiki uliofanyika katika viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Ian Ferrao (kushoto) akimshuhudia Mkurugenzi wa Nokia Tanzania,Martin Talbot ( kulia) akimvisha medali nahodha wa timu ya VodaStar, Ngayama Matongo baada ya kuilaza timu hiyo kwa magoli 8-1 wakati wa mechi yakirafiki uliofanyika katika viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mshambuliaji wa timu ya VodaStar, Ian Ferrao ambaye pia ni Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, (kushoto) akipongezwa na Mkurugenzi mtendaji wa Nokia Tanzania, Martin Talbot kwa kuchaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo wakati wa mchezo wa kirafiki kati ya kampuni hizo ambapo VodaStar iliichapa Nokia kwa magoli 8-1 mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam.
Nahodha wa timu ya Nokia Tanzania,Charles Domingos(kulia) akiachia shuti kali na kuifungia goli timu yake na lapekee wakati wa mechi yakirafiki iliyofanyika katika viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam kati ya timu yake na VodaStar ambapo VodaStar waliichakaza timu hiyo kwa magoli 8-1.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala VODASTAR YAICHAKAZA NOKIA MAGOLI 8-1 MECHI YA KIRAFIKI
yaani makala yote VODASTAR YAICHAKAZA NOKIA MAGOLI 8-1 MECHI YA KIRAFIKI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala VODASTAR YAICHAKAZA NOKIA MAGOLI 8-1 MECHI YA KIRAFIKI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/vodastar-yaichakaza-nokia-magoli-8-1.html
0 Response to "VODASTAR YAICHAKAZA NOKIA MAGOLI 8-1 MECHI YA KIRAFIKI"
Post a Comment