title : UZINDUZI WA UPIMAJI WA AFYA WATOTO WA KITUO CHA MAZIZINI UNGUJA.
kiungo : UZINDUZI WA UPIMAJI WA AFYA WATOTO WA KITUO CHA MAZIZINI UNGUJA.
UZINDUZI WA UPIMAJI WA AFYA WATOTO WA KITUO CHA MAZIZINI UNGUJA.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya Uzinduzi wa huduma maalum ya Upimaji wa Afya za Watoto iliyofanyika leo katika Kituo cha kulelea Watoto Mazizini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja Mkoa wa Mjini Magharibi (kulia) Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Mhe.Moudline Cyrus Castico na Mke wa Balozi Mdogo wa China Mhe.Mama Liu Jie (kushoto) , [Picha na Ikulu.] 04/11/2017.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akimpakata Mtoto Yussuf Abdalla Abdilah akifanyiwa uchunguzi wa Dr.Qin Qin (kulia) kutoka china akiwa ni miongoni mwa Madakatri wa kujitolea akati wa hafla ya Uzinduzi wa huduma maalum ya Upimaji wa Afya za Watoto iliyofanyika leo katika Kituo cha kulelea Watoto Mazizini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja Mkoa wa Mjini Magharibi,[Picha na Ikulu.] 04/11/2017.
Mke wa Balozi Mdogo wa China aliyepo Zanzibar Mama Liu Jie (katikati) akimpakata mtoto wakati wa hafla ya Uzinduzi wa huduma maalum ya Upimaji wa Afya za Watoto iliyofanyika leo katika Kituo cha kulelea Watoto Mazizini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja Mkoa wa Mjini Magharibi,(kulia) Dr.Guo Yulan akiendelea na zoezi hilo,wakiwepo na Viongozi wengine Dr.Wang Hao,Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Mhe.Moudline Cyrus Castico,Katibu Mkuu Bi.Fatma Gharib Bilali na Naibu Wazuiri wa Afya Mhe,Harusi Said Suleiman, [Picha na Ikulu.] 04/11/2017.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Mke wa Balozi Mdogo wa China aliyepo Zanzibar Mama Liu Jie (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakiwa picha ya pamoja na Madaktari wa Kichina wakati wa hafla ya Uzinduzi wa huduma maalum ya Upimaji wa Afya za Watoto iliyofanyika leo katika Kituo cha kulelea Watoto Mazizini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja Mkoa wa Mjini Magharibi,[Picha na Ikulu.] 04/11/2017.
Hivyo makala UZINDUZI WA UPIMAJI WA AFYA WATOTO WA KITUO CHA MAZIZINI UNGUJA.
yaani makala yote UZINDUZI WA UPIMAJI WA AFYA WATOTO WA KITUO CHA MAZIZINI UNGUJA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UZINDUZI WA UPIMAJI WA AFYA WATOTO WA KITUO CHA MAZIZINI UNGUJA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/uzinduzi-wa-upimaji-wa-afya-watoto-wa.html
0 Response to "UZINDUZI WA UPIMAJI WA AFYA WATOTO WA KITUO CHA MAZIZINI UNGUJA."
Post a Comment