RC WA MTWARA AMUAGIZA MKURUGENZI WA BODI YA KOROSHO NA MENEJA WA CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA KUANDIKA BARUA YA KUJIELEZA KWANINI WALIIDANGANYA OFISI YAKE.

RC WA MTWARA AMUAGIZA MKURUGENZI WA BODI YA KOROSHO NA MENEJA WA CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA KUANDIKA BARUA YA KUJIELEZA KWANINI WALIIDANGANYA OFISI YAKE. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC WA MTWARA AMUAGIZA MKURUGENZI WA BODI YA KOROSHO NA MENEJA WA CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA KUANDIKA BARUA YA KUJIELEZA KWANINI WALIIDANGANYA OFISI YAKE., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC WA MTWARA AMUAGIZA MKURUGENZI WA BODI YA KOROSHO NA MENEJA WA CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA KUANDIKA BARUA YA KUJIELEZA KWANINI WALIIDANGANYA OFISI YAKE.
kiungo : RC WA MTWARA AMUAGIZA MKURUGENZI WA BODI YA KOROSHO NA MENEJA WA CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA KUANDIKA BARUA YA KUJIELEZA KWANINI WALIIDANGANYA OFISI YAKE.

soma pia


RC WA MTWARA AMUAGIZA MKURUGENZI WA BODI YA KOROSHO NA MENEJA WA CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA KUANDIKA BARUA YA KUJIELEZA KWANINI WALIIDANGANYA OFISI YAKE.

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa amemuagiza Mkurugenzi wa Bodi ya Korosho CBT Hassan Jarufu pamoja na Meneja wa Chama Kikuu cha Ushirika MAMCU Kuhakikisha wanaandika Barua ya Kutoa Maelezo kwa nini Waliidanganya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kuhusiana na Mkataba, Idadi ya Ununuzi wa Magunia ya Kubebea Korosho katika Kikao Kilichoketi Novemba,mosi  Mwaka huu.


Katika Kikao hicho Bodi ya Korosho Kupitia MAMCU walisema, wameagiza magunia Million1 kupitia Kampuni ya DIRMAN HOLDING LTD na Ndipo mkuu wa Mkoa akaagiza Kuletewa mkataba Huo na kubaini kuwa Baadhi ya wajumbe wa Mamcu Hawaujui Mkataba na Haujulikani Thamani yake laki pia Mkataba ni magunia Laki6.5 na sio Million1 walizozisema katika kikao Hicho.Hata hivyo magunia hayo mpaka sasa hayajulikani idadi kamili iliyoletwa

Katika Mkutano na waandishi wa Habari Ofini kwake, Mkuu wa mkoa Byakanwa amesema kutokana na Udanganyifu huo Ofisi yake imeamua Bodi ya Korosho isilipe Pesa yeyote kwa kampuni ya DIRMA HOLDING LTD kwa kushindwa kuleta magunia kwa wakati,kwani ilitakiwa kuleta Septemba 30/2017lakini mpaka sasa bado hajakamilisha na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa dhidi ya Mzabuni huyo.

Aidha Ameiagiza Bodi kuhakikisha inasambaza magunia ndani ya Kipindi cha Wiki Mbili zijazo ili malalamiko ya wakulima yaweze kuondoka.

Kutokana na Udanganyifu Huo Mkuu wa Mkoa anatarajia Kuunda kamati ili kuweza kuchunguza taratibu zinazotumika kuingia mikataba na wote waliohusika na kamati hiyo itaishauri nini cha kufanya kwa wahusika.


Hivyo makala RC WA MTWARA AMUAGIZA MKURUGENZI WA BODI YA KOROSHO NA MENEJA WA CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA KUANDIKA BARUA YA KUJIELEZA KWANINI WALIIDANGANYA OFISI YAKE.

yaani makala yote RC WA MTWARA AMUAGIZA MKURUGENZI WA BODI YA KOROSHO NA MENEJA WA CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA KUANDIKA BARUA YA KUJIELEZA KWANINI WALIIDANGANYA OFISI YAKE. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC WA MTWARA AMUAGIZA MKURUGENZI WA BODI YA KOROSHO NA MENEJA WA CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA KUANDIKA BARUA YA KUJIELEZA KWANINI WALIIDANGANYA OFISI YAKE. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/rc-wa-mtwara-amuagiza-mkurugenzi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RC WA MTWARA AMUAGIZA MKURUGENZI WA BODI YA KOROSHO NA MENEJA WA CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA KUANDIKA BARUA YA KUJIELEZA KWANINI WALIIDANGANYA OFISI YAKE."

Post a Comment