title : UVCCM: UTENDAJI MIAKA MIWILI YA SERIKALI YA JPM KIELELEZO CHA UZALENDO
kiungo : UVCCM: UTENDAJI MIAKA MIWILI YA SERIKALI YA JPM KIELELEZO CHA UZALENDO
UVCCM: UTENDAJI MIAKA MIWILI YA SERIKALI YA JPM KIELELEZO CHA UZALENDO
Kaimu katibu mkuu Shaka Hamdu Shaka akizumgumza kwenye kongamano lilioandaliwa na uvccm kuhusu tathmini ya uchambuzi wa utendaji wa miaka miwili wa serikali ya Rais dk John Magufuli kwenye ukumbi wa bmk Mkoani Tanga jana.
Kaimu katibu mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCM) Shaka Hamdu Shaka (wa tatu kulia)akishiriki kuimba wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kwa kongamano la tathmini ya uchambuzi wa utendaji wa miaka miwili wa serikali ya Rais John Magufuli kwenye Ukumbi wa BKM Mkoani Tanga jana.Kulia ni Mweyekiti wa ccm wilaya ya Tanga Meja Mstaafu Khamis Mkoba(picha na Fahdi Siraji)
Chipukizi wa CCM Mkoa wa Tanga wakiimbisha Wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kwa kongamano la tathmini ya uchambuzi wa miaka miwili ya serikali ya Rais John Magufuli kwenye Ukumbi wa BKM Mkoani humo.
Sehemu ya washiriki kwenye kongamano lililoandaliwa na uvccm kuhusu tathmini na uchambuzi wa miaka miwili ya utendaji wa serikali ya Rais Dk John Magufuli lilifanyika Mkoani humo.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala UVCCM: UTENDAJI MIAKA MIWILI YA SERIKALI YA JPM KIELELEZO CHA UZALENDO
yaani makala yote UVCCM: UTENDAJI MIAKA MIWILI YA SERIKALI YA JPM KIELELEZO CHA UZALENDO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UVCCM: UTENDAJI MIAKA MIWILI YA SERIKALI YA JPM KIELELEZO CHA UZALENDO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/uvccm-utendaji-miaka-miwili-ya-serikali.html
0 Response to "UVCCM: UTENDAJI MIAKA MIWILI YA SERIKALI YA JPM KIELELEZO CHA UZALENDO"
Post a Comment