ASKOFU MALASUSA AONGOZA MAELFU YA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KATIKA IBADA YA MIAKA 500 YA MATENGENEZO YA KANISA

ASKOFU MALASUSA AONGOZA MAELFU YA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KATIKA IBADA YA MIAKA 500 YA MATENGENEZO YA KANISA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ASKOFU MALASUSA AONGOZA MAELFU YA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KATIKA IBADA YA MIAKA 500 YA MATENGENEZO YA KANISA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ASKOFU MALASUSA AONGOZA MAELFU YA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KATIKA IBADA YA MIAKA 500 YA MATENGENEZO YA KANISA
kiungo : ASKOFU MALASUSA AONGOZA MAELFU YA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KATIKA IBADA YA MIAKA 500 YA MATENGENEZO YA KANISA

soma pia


ASKOFU MALASUSA AONGOZA MAELFU YA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KATIKA IBADA YA MIAKA 500 YA MATENGENEZO YA KANISA

 Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Alex Malasusa  akiongoza  Maelfu ya Waumini wa KKKT wa Dayosisi hiyo katika Ibada ya Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa,iliyofanyika jana Uwanja wa Taifa,jijini Dar.


Naibu Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Mission na Uinjilisti Mchungaji, Boniface Kombo akiongoza Lutrijia wakati wa Ibada ya Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa.
 Mchungaji Lewis Hiza akisoma somo la pili wakati wa Ibada ya Miaka 500 ya Matengezo ya Kanisa la KKKT iliyoadhimishwa na Dayosisi ya Mashariki  na Pwani katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
 Mchungaji Muke Najua  kutoka nchini Afrika kusini akitoa mahubiri wakati  Ibada ya Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa hilo iliyofanyika  Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
 Kundi la watoto zaidi ya 4000 waliopata Ubarikio wa Kipaimara wakati wa Ibada ya Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa la KKKT Duniani yaliyofanyika katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala ASKOFU MALASUSA AONGOZA MAELFU YA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KATIKA IBADA YA MIAKA 500 YA MATENGENEZO YA KANISA

yaani makala yote ASKOFU MALASUSA AONGOZA MAELFU YA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KATIKA IBADA YA MIAKA 500 YA MATENGENEZO YA KANISA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ASKOFU MALASUSA AONGOZA MAELFU YA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KATIKA IBADA YA MIAKA 500 YA MATENGENEZO YA KANISA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/askofu-malasusa-aongoza-maelfu-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ASKOFU MALASUSA AONGOZA MAELFU YA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KATIKA IBADA YA MIAKA 500 YA MATENGENEZO YA KANISA"

Post a Comment