UCHAGUZI WA MADIWANI KATA 43 NEC YASISITIZA AMANI NA USALAMA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI

UCHAGUZI WA MADIWANI KATA 43 NEC YASISITIZA AMANI NA USALAMA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UCHAGUZI WA MADIWANI KATA 43 NEC YASISITIZA AMANI NA USALAMA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UCHAGUZI WA MADIWANI KATA 43 NEC YASISITIZA AMANI NA USALAMA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI
kiungo : UCHAGUZI WA MADIWANI KATA 43 NEC YASISITIZA AMANI NA USALAMA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI

soma pia


UCHAGUZI WA MADIWANI KATA 43 NEC YASISITIZA AMANI NA USALAMA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI

Na Clarence Nanyaro – NEC 

ARUSHA.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imevitaka vyama vya Siasa na wadau mbalimbali wa Uchaguzi kuhakikisha kuwa Uchaguzi Mdogo wa Madiwani utakaofanyika kesho (Jumapili) Novemba 22, 2017 unafanyika kwa amani na Utulivu na kutoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga Kura.

Akisoma risala kwa umma leo Jijini Arusha Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya uchaguzi Jaji Semistocles Kaijage amesema kuwa Wapiga Kura wapatao 333,309 wanatarajiwa kupiga Kura kuwachagua Madiwani katika Kata 43 za Tanzania Bara na kuongeza kuwa uchaguzi huo utafanyika katika Vituo 884 vya Uchaguzi ambako ndipo Wapiga kura walijiandikishia kupiga kura katika Uchgauzi Mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2015.

Amesema kuwa tofauti na Chaguzi zilizopita,Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kuzingatia masharti ya sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa kifungu cha 62 imewaruhusu wapiga kura ambao ama kadi zao za kupigia kura zimepotea au kuchakaa au kufutika kutumia vitambulisho mbadala kwenda katika vituo walivyojiandikisha ili waweze kupiga kura katika uchaguzi huu.

Jaji Kaijage amesisitiza kuwa masharti ya Mpiga Kura kuruhusiwa kutumia kitambulisho mbadala yatazingatia sharti la kwamba majina ya mpiga kura lazima yafanane kwa herufi na majina yaliyoko katika kitambulisho mbadala ambayo yako katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura



Hivyo makala UCHAGUZI WA MADIWANI KATA 43 NEC YASISITIZA AMANI NA USALAMA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI

yaani makala yote UCHAGUZI WA MADIWANI KATA 43 NEC YASISITIZA AMANI NA USALAMA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UCHAGUZI WA MADIWANI KATA 43 NEC YASISITIZA AMANI NA USALAMA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/uchaguzi-wa-madiwani-kata-43-nec.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UCHAGUZI WA MADIWANI KATA 43 NEC YASISITIZA AMANI NA USALAMA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI"

Post a Comment