title : KUMBILAMOTO; VIJANA MUUNGENI MKONO RAIS MAGUFULI AMEFANYA MAKUBWA
kiungo : KUMBILAMOTO; VIJANA MUUNGENI MKONO RAIS MAGUFULI AMEFANYA MAKUBWA
KUMBILAMOTO; VIJANA MUUNGENI MKONO RAIS MAGUFULI AMEFANYA MAKUBWA
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto akizungumza na umoja wa Vikundi vya Jogging Vingunguti mara baada ya kumaliza uasafi wa mwezi katika juhudi za kumuunga mkona Rais John Pombe Magufuli kuifanya Tanzania iwe safi.
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto, akiongoza zoezi la Usafi katika mtaa wa Miembeni kata ya Vingunguti kama agzio la Rais lilivyotaka kila Jumamosi ya Mwisho wa mwezi watu kufanya usafi
Afisa Ugavi wa Manispaa ya Ilala,Vicent Odero akitoa shukrani kwa umoja wa Vikundi vya Jogging Vingunguti kwa kujitokeza kwa wingi katika zoezi la usafi wa Mwisho wa Mwezi
Afisa usafishaji wa Manispaa ya ilala Cosmas Mwaitete akihahidi kuwaongezea vifaa zaidi vya kufanyia usafii umoja wa wakimbiaji mbio za pole Vingunguti
Mtangazaji wa kituo cha Radio cha east Afrika Zembwela akionyesha kwa vitendo namna ya kufanya usafi katika mitaa ya vingunguti mara baada ya kualikwa na Naibu Meya.
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto, akitoa uchafu kwenye mitaro ya mitaa ya Vingunguti
Sehemu ya wana kikundi wakikimbia kabla ya kuanza kwa usafi wa mazingira kata ya VINGUNGUTI
Hivyo makala KUMBILAMOTO; VIJANA MUUNGENI MKONO RAIS MAGUFULI AMEFANYA MAKUBWA
yaani makala yote KUMBILAMOTO; VIJANA MUUNGENI MKONO RAIS MAGUFULI AMEFANYA MAKUBWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KUMBILAMOTO; VIJANA MUUNGENI MKONO RAIS MAGUFULI AMEFANYA MAKUBWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/kumbilamoto-vijana-muungeni-mkono-rais.html
0 Response to "KUMBILAMOTO; VIJANA MUUNGENI MKONO RAIS MAGUFULI AMEFANYA MAKUBWA"
Post a Comment