title : TIMU MBILI ZA MCHEZO WA BASEBALL ZANZIBAR ZAAGWA
kiungo : TIMU MBILI ZA MCHEZO WA BASEBALL ZANZIBAR ZAAGWA
TIMU MBILI ZA MCHEZO WA BASEBALL ZANZIBAR ZAAGWA
Mwenyekiti wa Heshima na mfadhili mkuu wa Timu ya Baseball Zanzibar Nd. Shimaoka wanne kutoka kulia akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na wachezaji wa Timu ya Baseball wakati walipofika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kwa ajili ya kuagwa kuelekea kwenyemashindano ya mchezo huo yatakayofanyika Tanzania Bara ili kumtafuta bingwa wa Tanzania ambapo Timu 12 zinatarajiwa kushiriki,Zanzibar ikitoa Timu mbili.Mwanakwerekwe C na Mwenge Magharibi A.
Kapteni wa Timu ya Timu ya Baseball Zanzibar Omar Bakar Omar akizungumza na Mwandisahi wa Habari mara baada ya kuagwa kuelekea kwenyemashindano ya mchezo huo yatakayofanyika Tanzania Bara ili kumtafuta bingwa wa Tanzania ambapo Timu 12 zinatarajiwa kushiriki,Zanzibar ikitoa Timu mbili.Mwanakwerekwe C na Mwenge Magharibi A.
Mwenyekiti wa Heshima na mfadhili mkuu wa Timu ya Baseball Zanzibar Nd,Shimaoka akizungumza na Mwandishi mara baada ya kuagwa kuelekea kwenyemashindano ya mchezo huo yatakayofanyika Tanzania Bara ili kumtafuta bingwa wa Tanzania ambapo Timu 12 zinatarajiwa kushiriki,Zanzibar ikitoa Timu mbili.Mwanakwerekwe C na Mwenge Magharibi A.
Mwenyekiti wa Chama cha Baseball(ZABSA)Othman Ali Msabah akizungumza na Mwandishi mara baada ya kuagwa kuelekea kwenyemashindano ya mchezo huo yatakayofanyika Tanzania Bara ili kumtafuta bingwa wa Tanzania ambapo Timu 12 zinatarajiwa kushiriki,Zanzibar ikitoa Timu mbili.Mwanakwerekwe C na Mwenge Magharibi A.
PICHA NA YUSSUF SIMAI /MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala TIMU MBILI ZA MCHEZO WA BASEBALL ZANZIBAR ZAAGWA
yaani makala yote TIMU MBILI ZA MCHEZO WA BASEBALL ZANZIBAR ZAAGWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TIMU MBILI ZA MCHEZO WA BASEBALL ZANZIBAR ZAAGWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/timu-mbili-za-mchezo-wa-baseball.html
0 Response to "TIMU MBILI ZA MCHEZO WA BASEBALL ZANZIBAR ZAAGWA"
Post a Comment