TFDA Yafuta Usajili wa Dawa zenye madhara kwa Binadamu

TFDA Yafuta Usajili wa Dawa zenye madhara kwa Binadamu - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TFDA Yafuta Usajili wa Dawa zenye madhara kwa Binadamu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TFDA Yafuta Usajili wa Dawa zenye madhara kwa Binadamu
kiungo : TFDA Yafuta Usajili wa Dawa zenye madhara kwa Binadamu

soma pia


TFDA Yafuta Usajili wa Dawa zenye madhara kwa Binadamu

Na. Prisca Libaga-MAELEZO, Arusha.

Mamlaka ya chakula na dawa TFDA imezifutia usajili dawa mbalimbali za kutibu magonjwa ya binadamu na kuziondoa kwenye soko pamoja na kusitisha matumizi yake kutokana na kuwa na madhara makubwa kwa wagonjwa.

Hayo yameelezwa jana Jijini Arusha na Mkurugenzi Mkuu wa TFDA, Bw. Hiiti Sillo, alipokuwa akifungua mafunzo ya siku tano ya wakufunzi wa ufuatiliaji juu ya ufundishaji na uhamasishaji wa masuala ya udhibiti wa madhara yatonayo na matumizi ya dawa zisizosalama kwa watendaji wa afya kutoka Wilaya zote za mkoa wa Arusha.

Bw. Sillo mesema katika kudhibiti matumizi ya dawa zisizofaa TFDA imeondoa dawa ya sindano aina ya Chloramphenical kwenye soko baada ya shirika la afya Duniani WHO, kubaini dawa hiyo ina madhara kwa watumiaji, Pia mamlaka hiyo imefuta usajili wa dawa zingine kama vile Ketoconazole, (vidonge) Phenylpropanalamine,Dextropropoxyphene,Nimesulide,stavudine 40, Gatifloxacin,Rofecoxib, pamoja na Celecoxib baada ya kuthibitika zina madhara kwa watumiaji. 

Aidha matumizi ya dawa kama vile Kanamycin,Amikacin na Levofloxacin zimebadilishwa ili ziweze kutumika kwa ajili ya kutibu ugonjwa wa kifua kikuu pekee.



Hivyo makala TFDA Yafuta Usajili wa Dawa zenye madhara kwa Binadamu

yaani makala yote TFDA Yafuta Usajili wa Dawa zenye madhara kwa Binadamu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TFDA Yafuta Usajili wa Dawa zenye madhara kwa Binadamu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/tfda-yafuta-usajili-wa-dawa-zenye.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TFDA Yafuta Usajili wa Dawa zenye madhara kwa Binadamu"

Post a Comment