title : MKUU WA WILAYA YA MONDULI AKAGUA MADHARA YA MOTO ULIOTEKETEZA BIASHARA KADHAA KIJIJI CHA IRERENDENI
kiungo : MKUU WA WILAYA YA MONDULI AKAGUA MADHARA YA MOTO ULIOTEKETEZA BIASHARA KADHAA KIJIJI CHA IRERENDENI
MKUU WA WILAYA YA MONDULI AKAGUA MADHARA YA MOTO ULIOTEKETEZA BIASHARA KADHAA KIJIJI CHA IRERENDENI
Mkuu wa wilaya ya Monduli Mhe.Idd Hassan Kimanta ametembelea waathirika wa janga la moto huko katika kijiji cha Irerendeni kata ya Engaruka akiwa amefuatana na baadhi ya wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama na Mbunge wa Jimbo la Monduli Mhe.Julias Kalanga
Kwenye ziara hiyo viongozi hao walijionea adha iliyokumba wafanyabishara hao kwa kuunguliwa na vibanda vyao vya maduka kwa moto ulioanza tarehe 17.07.2018 saa saba usiku na kudumu kwa saa tano na kuleta athari kubwa na kifo kwa mfanyabiashara mmoja aliyejulikana ka kwa jina la Siriel massawe ambaye umauti ulimkuta baada kuzidiwa na moto mkubwa ndani.
Jumla ya maduka saba yaliteketea kwa moto na Mkuu wa wilaya aliwapa pole sana waathirika na kuwataka kuwa watulivu wakati vyombo vya ulinzi vikifanya uchunguzi.
Pia kupitia Halmashauri ya Wilaya ya Monduli imeahidi kutoa mkono wa pole Tsh.200.000/= kwa kila mfanyabiashara na kuwalipia madeni ya Mikopo yao waliokopa kwenye taasisi za kifedha baada uhakiki mikopo yao.
Mkuu wa wilaya ya Monduli Mhe. Idd Hassan Kimanta (mwenye fimbo) akikagua madhara ya moto uliotokea katika kijiji cha Irerendeni kata ya Engaruka akiwa amefuatana na baadhi ya wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama na Mbunge wa Jimbo la Monduli Mhe.Julias Kalanga
Sehemu ya eneo likionesha madhara ya moto uliotokea katika kijiji cha Irerendeni kata ya Engaruka akiwa amefuatana na baadhi ya wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama na Mbunge wa Jimbo la Monduli Mhe.Julias Kalanga
Madhara ya moto huo
Mkuu wa wilaya ya Monduli Mhe.Idd Hassan Kimanta akitoa maelekezo na kuwapa pole kwa waathirika wa madhara ya moto uliotokea katika kijiji cha Irerendeni kata ya Engaruka akiwa amefuatana na baadhi ya wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama na Mbunge wa Jimbo la Monduli Mhe.Julias Kalanga
Hivyo makala MKUU WA WILAYA YA MONDULI AKAGUA MADHARA YA MOTO ULIOTEKETEZA BIASHARA KADHAA KIJIJI CHA IRERENDENI
yaani makala yote MKUU WA WILAYA YA MONDULI AKAGUA MADHARA YA MOTO ULIOTEKETEZA BIASHARA KADHAA KIJIJI CHA IRERENDENI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA WILAYA YA MONDULI AKAGUA MADHARA YA MOTO ULIOTEKETEZA BIASHARA KADHAA KIJIJI CHA IRERENDENI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/mkuu-wa-wilaya-ya-monduli-akagua.html
0 Response to "MKUU WA WILAYA YA MONDULI AKAGUA MADHARA YA MOTO ULIOTEKETEZA BIASHARA KADHAA KIJIJI CHA IRERENDENI"
Post a Comment