Ruge Afunguka Upya Anavyo Muheshimu Mama Watoto Wake Zamaradi!

Ruge Afunguka Upya Anavyo Muheshimu Mama Watoto Wake Zamaradi! - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ruge Afunguka Upya Anavyo Muheshimu Mama Watoto Wake Zamaradi!, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ruge Afunguka Upya Anavyo Muheshimu Mama Watoto Wake Zamaradi!
kiungo : Ruge Afunguka Upya Anavyo Muheshimu Mama Watoto Wake Zamaradi!

soma pia


Ruge Afunguka Upya Anavyo Muheshimu Mama Watoto Wake Zamaradi!

Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji Clouds Media Group Ruge Mutahaba leo amemzungumzia Zamaradi Mketema ambaye alikuwa mpenzi wake, mahusiano yao yaliweza kudumu kwa muda kiasi cha kutoa matunda ya watoto wawili (2) kwa mujibu wa maelezo ya Ruge.

Akiwa kwenye mahojiano Clouds TV kupitia kipindi cha asubuhi CLOUDS 360 Runge amefunguka kama ifuatavyo baada ya kuulizwa  maswali yafuatayo: 1. Je ulikuwa unajua kama Zamaradi anaelekea kufunga ndoa? 2. Ile sauti niyakwako?

RUGE: "Kila kilicho fanyika nilikuwa na taarifa nacho na ninakipa baraka asilimia mia moja 100%,  kwa sababu hii ni sehemu ya maisha tunapita.  Kubwa kuliko yote nina watoto wawili (2) ambao nimezaa na Zamaradi Mketema namuheshimu mmno mpaka sasa naendelea kumuheshimu kama Mama watoto wangu. Naheshimu na kuwapenda sana watoto wangu na nimewaona weekend iliyopita so heshima inatakiwa iwepo".   (Writter Victor Petro)



Hivyo makala Ruge Afunguka Upya Anavyo Muheshimu Mama Watoto Wake Zamaradi!

yaani makala yote Ruge Afunguka Upya Anavyo Muheshimu Mama Watoto Wake Zamaradi! Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ruge Afunguka Upya Anavyo Muheshimu Mama Watoto Wake Zamaradi! mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/ruge-afunguka-upya-anavyo-muheshimu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Ruge Afunguka Upya Anavyo Muheshimu Mama Watoto Wake Zamaradi!"

Post a Comment