RAIS DKT MAGUFULI AVAMIA BANDARINI LEO NA KUKUTA MADUDU

RAIS DKT MAGUFULI AVAMIA BANDARINI LEO NA KUKUTA MADUDU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT MAGUFULI AVAMIA BANDARINI LEO NA KUKUTA MADUDU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT MAGUFULI AVAMIA BANDARINI LEO NA KUKUTA MADUDU
kiungo : RAIS DKT MAGUFULI AVAMIA BANDARINI LEO NA KUKUTA MADUDU

soma pia

RAIS DKT MAGUFULI AVAMIA BANDARINI LEO NA KUKUTA MADUDU

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipata maelezo toka viongozi wa Mamlaka ya Bandari, Jeshi la Polisi na TRA kuhusiana na magari ya wagonjwa 53 yaliyofichwa katika kona moja ya Bandari ya Dar es salaam huku wamiliki wake wakiwa hawajulikani alipofanya ziara ya kushtukiza leo Jumapili Novemba 26, 2017

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikagua sehemu ya magari zaidi ya 6000 yaliyopo bandari ya Dar es salaam mengine yakiwa hapo kwa miaka zaidi ya kumi bila kuchukuliwa na wenye nayo alipofanya ziara ya kushtukiza leo Jumapili Novemba 26, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitoa maelekezo kuhusu magari zaidi ya 50 ya Jeshi la Polisi yaliyopo bandarini toka mwaka 2015 kwa sababu ya kutolipiwa  ushuru alipofanya ziara ya kushtukiza leo Jumapili Novemba 26, 2017

PICHA NA IKULU

Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AVAMIA BANDARINI LEO NA KUKUTA MADUDU

yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AVAMIA BANDARINI LEO NA KUKUTA MADUDU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AVAMIA BANDARINI LEO NA KUKUTA MADUDU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/rais-dkt-magufuli-avamia-bandarini-leo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AVAMIA BANDARINI LEO NA KUKUTA MADUDU"

Post a Comment