Profesa Rai mgeni rasmi wakati wa kuitambulisha Jumuiya ya maendeleo ya Mkoani (MDA)

Profesa Rai mgeni rasmi wakati wa kuitambulisha Jumuiya ya maendeleo ya Mkoani (MDA) - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Profesa Rai mgeni rasmi wakati wa kuitambulisha Jumuiya ya maendeleo ya Mkoani (MDA), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Profesa Rai mgeni rasmi wakati wa kuitambulisha Jumuiya ya maendeleo ya Mkoani (MDA)
kiungo : Profesa Rai mgeni rasmi wakati wa kuitambulisha Jumuiya ya maendeleo ya Mkoani (MDA)

soma pia


Profesa Rai mgeni rasmi wakati wa kuitambulisha Jumuiya ya maendeleo ya Mkoani (MDA)

 Ndugu , Rashid Ali Salim, akiwafahamisha Wananchi wa Mkoani kuhusu Jumuiya ya Maendeleo ya watu wa Mkoani katika hafla iliofanyika Skuli ya Sekondari Uweleni.
 Miongoni mwa Waanzilishi wa Jumuiya hiyo , Abdalla Abass Omar, akielezea azma na malengo  ya kuanzishwa kwa Jumuiya hiyo ya Maendeleo ya Mkaoni (MDA) kwa Wananchi wa Mkoani waliohudhuria hafla hiyo.
 Baadhi ya Wananchi wa Mkoani Pemba, wakimsikiliza , Profesa , Idrisa Ahmada Rai, akieleza machache juu ya kuitambulisha Jumuiya ya maendeleo ya Mkoani (MDA) kwa Wananchi wa mkoani.
 Profesa Idrisa Ahmada Rai, akizungumza na Wananchi wa Mkoani katika hafla ya kuitambulisha Jumuiya ya maendeleo ya Mkoani (MDA), hafla iliofanyika katika Skuli ya Uweleni Mkoani Pemba.
Profesa Idrisa Ahmada Rai, akizungumza na Wananchi wa Mkoani katika hafla ya kuitambulisha Jumuiya ya maendeleo ya Mkoani (MDA), hafla iliofanyika katika Skuli ya Uweleni Mkoani Pemba.

PICHA NA HABIBA ZARALI-PEMBA.


Hivyo makala Profesa Rai mgeni rasmi wakati wa kuitambulisha Jumuiya ya maendeleo ya Mkoani (MDA)

yaani makala yote Profesa Rai mgeni rasmi wakati wa kuitambulisha Jumuiya ya maendeleo ya Mkoani (MDA) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Profesa Rai mgeni rasmi wakati wa kuitambulisha Jumuiya ya maendeleo ya Mkoani (MDA) mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/profesa-rai-mgeni-rasmi-wakati-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Profesa Rai mgeni rasmi wakati wa kuitambulisha Jumuiya ya maendeleo ya Mkoani (MDA)"

Post a Comment